Kisheria hii imekaaje?

Kisheria hii imekaaje?

Jama hana nguvu za kiume,hiyo changamoto sio ndogo,aachane na mambo ya ndoa
Umri wa miaka 44 sio umri wa kukosa nguvu za kiume, nafikiri anakabiliwa na tatizo la kisaikolojia.

Kawaida umri wa miaka 44 hushindwi kutupia bao mbili mbili ama tatu kwa Siku japo Kwa miaka ya hivi karibuni umri huo huambatana na Kisukari 🙌
 
Kiumri bado mdogo labda kuna shida nyingine,mimi na yeye hatupishani sana kiumri ila mabinti huwa wanaomba poo
 
Hivi Sheria ya Ndoa si ipo wazi kuhusu mgawanyo wa Mali mara baada ya talaka?

Na kwanini ufikirie kumuacha binti wakati changamoto zenu mnaweza kukaa Chini na kuzitatua?

Hata hivyo Mkeo naona yupo sahihi kuhusu upweke, mwenzio nilipokuwa na Ndoa changa kama yako Mwaka 47, nilikuwa na safiri na Mke wangu kwenye shughuli zote za shamba.

As long unapoenda semina unalala Lodge kwanini usimchukue na yeye uambatane naye? Unamwacha lodge uliyofikia na wewe unaingia semina room, ukitoka unamkuta mwenzio alishapumzika Mchana kutwa, kwahiyo ni suala la kutupia tu hadi semina iishe unakuta Binti wa watu ameanza kutamani udongo na vitu vichachu chachu.
Hilo kwangu haiwezekani mkuu, over my dead body, narudia tena over my dead body..
 
Navoelewa mimi kwakua amevikuta hamtogawana pasu pasu japo lazima umzingatie, ila subiri kwanza kwani kuna dalili yoyote anataka mali zako? Kuna kiashiria chochote anatataka mgawane ongeeni wazi.

Mwisho kama ulioa kidini maliza kidini pia fika ofis za bakwata wakupe muongozo umuache kisheria cheti si mnacho?
 
Cheti kipo
 
Kama mali ulipata kabla ya ndoa na uthibitisho mfano ya tarehe za manunuzi ya kiwanja na tatehe za kupewa kibali cha ujenzi zinaonesha ilikuwa kabla ya ndoa basi hiyo mali haimhusu. Mali mnayogawana ni ile iloyopatikana wakati wa ndoa.

Hapo kuna mahali umesema humridhishi ktk tendo la ndoa? Mimi nadhani hii ifanyie kazi mkuu. Hii ndio shida inayosambaratisha ndoa yako. Zingatia lishe sahihi na mazoezi. Mridhishe mkeo bwana utaona kama ataendelea kuomba talaka. Sasa wewe uko safari wiki 3. Unarudi unapewa mzigo unacheza chini ya kiwango inakuwa sio sawa
 
Wakuu Mimi umri wangu ni miaka 44 mpaka nafikia umri huu sijabahatika kupata mtoto wa ndoa zaidi ya kubambikiwa watoto wa nje ya ndoa, Mimi ni mjasiriamali japo pia ni mtumishi serikali katika idara ya afya, nilichelewa kuowa kutokana Na ugumu wa maisha niliokuwa nao , mwaka jana mwezi wa nilibahatika kufunga ndoa Na binti mwenye miaka 23 , binti wa kiislamu, Huwa nasafiri mara nyingi sana hasa ninapoteuliwa kwenda kwenye semina za afya , mke wangu amekuwa ni mtu wa kulalamika kuwa ninaposafiri ninamuacha mpweke kwa muda mrefu, Huwa nikisafiri natumia muda wa wiki tatu mpaka mwezi mzima, mke wangu kwa Sasa anadai amechoka hali hiyo kwani pia analalamika pia simridhishi kwenye tendo la ndoa...anadai taraka ili aondoke akaendelee Na maisha mengine..tumeishi kwa mwaka mmoja Na miezi miwili, Na hatukubahatika kupata mtoto, je nauliza ndani ya muda huu nilioishinae anaweza kudai chochote katika Mali zangu ili tugawane,..namiliki pikipiki 3 kama bodaboda, nyumba mbili Na maduka manne ya kuuza nataka,
kama yeye ndie mdai talaka usiandike hiyo talaka.

Ktk Uislamu kuna kitu kinaitwa kujikomboa. Au khului ambapo mwanamke ana uhuru wa kuandika talaka na yeye kukulipa wewe gharama zitakqzokuwezesha wewe kuoa mwanamke mwengine. Gharama hiyo wengine husema ni sawa na mahari wewe ulimpatia
 
Tatizo la kwanza kwa nini uowe mtoto ambaye unaweza kumzaa? rika lako wameisha?

La pili inaonekana tako tatu umeshamwaga tayari sasa fanya mazoezi haya hata kahaba utamfikisha kileleni, unapiga demu yeyote to the maximum.

View: https://youtu.be/Ocxx70JrEEw?si=KuOX4_4yzTa1SoYN
 
kama yeye ndie mdai talaka usiandike hiyo talaka.

Ktk Uislamu kuna kitu kinaitwa kujikomboa. Au khului ambapo mwanamke ana uhuru wa kuandika talaka na yeye kukulipa wewe gharama zitakqzokuwezesha wewe kuoa mwanamke mwengine. Gharama hiyo wengine husema ni sawa na mahari wewe ulimpatia
Leo nitamchukua shekh mmoja akampe hilo darasa , ili ajikomboe ...nataka kufikia jumapili awe amesepa, niwe huru, nijilie maisha
 
Kama mali ulipata kabla ya ndoa na uthibitisho mfano ya tarehe za manunuzi ya kiwanja na tatehe za kupewa kibali cha ujenzi zinaonesha ilikuwa kabla ya ndoa basi hiyo mali haimhusu. Mali mnayogawana ni ile iloyopatikana wakati wa ndoa.

Hapo kuna mahali umesema humridhishi ktk tendo la ndoa? Mimi nadhani hii ifanyie kazi mkuu. Hii ndio shida inayosambaratisha ndoa yako. Zingatia lishe sahihi na mazoezi. Mridhishe mkeo bwana utaona kama ataendelea kuomba talaka. Sasa wewe uko safari wiki 3. Unarudi unapewa mzigo unacheza chini ya kiwango inakuwa sio sawa
Nakuwa nimechoka sana, ukizingatia Nina mikopo....Na siwezi kufanya kazi ya kumridhisha mwanamke , over my dead body, narudia tena over my dead body
 
Back
Top Bottom