Kisheria hili jambo la mwanamke kung'ang'ania ndani limekaaje?

Yalishawahikunita mkuu mtu asikwambie sasa ngoma ilikuwa kwenye lugha maana nilikuwa taifa ilingine. Ngoma ilikuwa hivi: siku moja jumamosi nimetoka kibarua nikaona niende beach moja kupata upepo mwanana. Nikawa nimekaa kibanda fulan napata ya moto maana nitoka kuogelea na maji ya chumvi na yalikuwa ya baridi hatari siku hiyo...
Ilikuwa Pisi ya kithungu au mbantu wa mbele
 
Neno "import" umelitumia vibaya
Mwanza na Geita ume import vipi?

Kwa wataalamu wa masuala ya customs na freight forward and clearance tunasema hapo ume "carry coastwise"

Ku import ni kuingiza ndani ya Tanzania kitu kutoka nje ya Afrika Mashariki.

Halafu mwanadamu sio bidhaa, hawezi kuwa imported au exported
Vinginevyo utajikuta una kesi kama zumaridi ukitumia msamiati huo.
umesema kuimport maana yake nini??
 
Mwanamke huyo asiondoke.
Kuna mkataba wa kimaandishi na kutamka maneno.
Buyo jamaa alimtakia kuwa atamuoa...binti aliamini ndio maana alimvulia chupi.
Binti asiondoke
 
Hivi mtu kama humpendi unawezaje kukaa nae ndani yaani akakuja na kurudi miezi minne yote? Matatizo mnayatafuta wenyewe.

Hilo swala analimaliza mwenyekiti wa mtaa ila mkae mkijua huyo dada ataondoka ila hawezi kukubali udhalilishaji huo.

Kama mwanaume hawezi kukaa chini wakalimaliza friendly atakata nguvu ya mwenyekiti ajiandae ila yajayo yanafurahisha.

Kama humpendi mtu usimkaribishe kwako, mkikutana huko hotelini ukaona sio chaguo lako, kata mawasiliano.

Jitu limejilia miezi minne ati halimtaki? Nyoooolo.

Afu ni wewe wacha kusingizia jamaa yako.
Unafikiri mademu wote tunao wachakata mbususu , tunawapenda?
 
mbona mnajitaftia matatizo? kwann uishi na mtu kwa kumdanganya kuwa utamuoa au kuolewa nae?
 
umesema kuimport maana yake nini??
Bringing into the country ie TZ goods from a foreign country.
Legally in customs, East African countries are not foreign countries but partner states

Usipate shida, mimi nililitafsiri Kisheria kwasababu na yeye alilileta kwa muktadha wa Kisheria kabla hajabadili title ya thread yake.
Sasa Kisheria import lazima customs department ihusike,na ndio wenye tafsiri hiyo ya import
 
Basi twende kwenye hoja hili limekaajee
 
Yalishawahikunita mkuu mtu asikwambie sasa ngoma ilikuwa kwenye lugha maana nilikuwa taifa ilingine. Ngoma ilikuwa hivi: siku moja jumamosi nimetoka kibarua nikaona niende beach moja kupata upepo mwanana. Nikawa nimekaa kibanda fulan napata ya moto maana nitoka kuogelea na maji ya chumvi na yalikuwa ya baridi hatari siku hiyo.

Basi pale nilipokaa wakaja wadada watatu na vichupi vyao vya kuongelea basi nikawatizama kwa bashasha mara mdogo kashoboka akanisogelea sasa ngoma ikawa lugha mimi na lugha ya malikia mbovu yeye na vireno vyao . Basi nikawaagizia vinywaji wakapiga.

Siku hiyo tukaagana kila mtu kivyake tukapeana contact. Baada ya siku kama tatu nikakutana supermarket hapo tukafanya shopping naona anifuata baada ya kulipa naona tunangozana hadi kwenye gari nikaendesha gari kwa ustadi kwangu hapo mambo yakaanza akapewa ubatizo akaondoka kesho yake akarudi mida ya jioni akapewa kipaimara akasema anaomba kupumzika maana aniambia alikuwa chuo kikuu mwaka wa pili hivyo hawezi kwenda hostel ngoja apumzike kumbe ndio mbinu.

We kilichofuata mara natabulishwa kwa mama mkwe mara wale akina dada marafiki hataki tuzoeane nao nikamwambia nina mke Tanzania. Baada ya siku dem hataki kuondoka ikawa mbinde akamwita akata kula vindoge kijiua mara akachukua cable eti anajinyonga afie kwangu.

Kesho yake mama yake kaja eti kama namfukuza nimpatie haki yake maana ni biashara. Nikaona hawa masikini tu wakachukua jokofu walitaka kitanda na godoro.

Nilikuwa na tv yangu Kuna mtu akanitonya nitoe kabla wakati yule dada analeta vurugu jamaa akawa ameichukuwa ndio ikawa pona yake. Tokea siku hiyo abdalah kichwa wazi nimwambia atulie mambo ya kujifanya anachagua pisi kali zina madhara.

Bila shaka ni Mozambique [emoji1174] mkuu [emoji28]pole sana hapo itakuwa ni Beira ama Nacala [emoji28][emoji28]
 
Neno "import" umelitumia vibaya
Mwanza na Geita ume import vipi?

Kwa wataalamu wa masuala ya customs na freight forward and clearance tunasema hapo ume "carry coastwise"

Ku import ni kuingiza ndani ya Tanzania kitu kutoka nje ya Afrika Mashariki.

Halafu mwanadamu sio bidhaa, hawezi kuwa imported au exported
Vinginevyo utajikuta una kesi kama zumaridi ukitumia msamiati huo.
wa custom naomba nisaidie eti Tz kuingiza Whiskey, wine na perfume etc for home consumption unaweza ingiza kiasi gani? Kutokana na sheria zetu za customs
 
Yalishawahikunita mkuu mtu asikwambie sasa ngoma ilikuwa kwenye lugha maana nilikuwa taifa ilingine. Ngoma ilikuwa hivi: siku moja jumamosi nimetoka kibarua nikaona niende beach moja kupata upepo mwanana. Nikawa nimekaa kibanda fulan napata ya moto maana nitoka kuogelea na maji ya chumvi na yalikuwa ya baridi hatari siku hiyo.

Basi pale nilipokaa wakaja wadada watatu na vichupi vyao vya kuongelea basi nikawatizama kwa bashasha mara mdogo kashoboka akanisogelea sasa ngoma ikawa lugha mimi na lugha ya malikia mbovu yeye na vireno vyao . Basi nikawaagizia vinywaji wakapiga.

Siku hiyo tukaagana kila mtu kivyake tukapeana contact. Baada ya siku kama tatu nikakutana supermarket hapo tukafanya shopping naona anifuata baada ya kulipa naona tunangozana hadi kwenye gari nikaendesha gari kwa ustadi kwangu hapo mambo yakaanza akapewa ubatizo akaondoka kesho yake akarudi mida ya jioni akapewa kipaimara akasema anaomba kupumzika maana aniambia alikuwa chuo kikuu mwaka wa pili hivyo hawezi kwenda hostel ngoja apumzike kumbe ndio mbinu.

We kilichofuata mara natabulishwa kwa mama mkwe mara wale akina dada marafiki hataki tuzoeane nao nikamwambia nina mke Tanzania. Baada ya siku dem hataki kuondoka ikawa mbinde akamwita akata kula vindoge kijiua mara akachukua cable eti anajinyonga afie kwangu.

Kesho yake mama yake kaja eti kama namfukuza nimpatie haki yake maana ni biashara. Nikaona hawa masikini tu wakachukua jokofu walitaka kitanda na godoro.

Nilikuwa na tv yangu Kuna mtu akanitonya nitoe kabla wakati yule dada analeta vurugu jamaa akawa ameichukuwa ndio ikawa pona yake. Tokea siku hiyo abdalah kichwa wazi nimwambia atulie mambo ya kujifanya anachagua pisi kali zina madhara.
😂 Abdallah nan!
 
Kuingiza ukiwa umebeba kama kamzigo kako au uagize zije kama cargo?
 
Katika mizunguko ya dunia, Rafiki yangu alileta mwanamke kwake (mpenzi) si unajua mambo ya Vijana tena.

Sasa kwa maelezo yake ni kwamba huyo mwanamke ambaye wamefahamiana kama miezi minne hivi na amekuwa akija kwake mara kwa mara kutoka mkoani Geita yeye (jamaa) yuko Mwanza.

Sasa basi huyu msichana alienda kwao siku moja akarudi kwamba kafukuzwa na ameng'ang'ania kuwa hatoondoka labda amuue. Na Jamaa anadai hakuwahi kuwa malengo yake (Lengo lilikuwa kuchakata Mbususu) japo alikuwa anampoza kuwa atamuoa.

Hapa kuna mambo mawili.

1. Kisheria hili jambo limekaaje? Kuna hatua anaweza kuzifanya ili kumuondoa huyu mwanamke?

2. Ni kitu gani akifanye ilii kumtoa huyu mwanamke?

Binafsi nimemshauri amwambie ukweli kuwa hamtaki sasa uchaguzi ni wake abaki au aendelee kubaki.

NB. Toka arudi week moja sasa jamaa kila mtu anaishi kivyake umo ndani.

Zingatia: Sio mwanafunzi wala hana mimba.
Sheria inasema mtu ukiishi nae miezi 3 ni mke wako. Sasa wewe umeishi nae miezi 4 alafu unataka aondoke?
 
Yalishawahikunita mkuu mtu asikwambie sasa ngoma ilikuwa kwenye lugha maana nilikuwa taifa ilingine. Ngoma ilikuwa hivi: siku moja jumamosi nimetoka kibarua nikaona niende beach moja kupata upepo mwanana. Nikawa nimekaa kibanda fulan napata ya moto maana nitoka kuogelea na maji ya chumvi na yalikuwa ya baridi hatari siku hiyo.

Basi pale nilipokaa wakaja wadada watatu na vichupi vyao vya kuongelea basi nikawatizama kwa bashasha mara mdogo kashoboka akanisogelea sasa ngoma ikawa lugha mimi na lugha ya malikia mbovu yeye na vireno vyao . Basi nikawaagizia vinywaji wakapiga.

Siku hiyo tukaagana kila mtu kivyake tukapeana contact. Baada ya siku kama tatu nikakutana supermarket hapo tukafanya shopping naona anifuata baada ya kulipa naona tunangozana hadi kwenye gari nikaendesha gari kwa ustadi kwangu hapo mambo yakaanza akapewa ubatizo akaondoka kesho yake akarudi mida ya jioni akapewa kipaimara akasema anaomba kupumzika maana aniambia alikuwa chuo kikuu mwaka wa pili hivyo hawezi kwenda hostel ngoja apumzike kumbe ndio mbinu.

We kilichofuata mara natabulishwa kwa mama mkwe mara wale akina dada marafiki hataki tuzoeane nao nikamwambia nina mke Tanzania. Baada ya siku dem hataki kuondoka ikawa mbinde akamwita akata kula vindoge kijiua mara akachukua cable eti anajinyonga afie kwangu.

Kesho yake mama yake kaja eti kama namfukuza nimpatie haki yake maana ni biashara. Nikaona hawa masikini tu wakachukua jokofu walitaka kitanda na godoro.

Nilikuwa na tv yangu Kuna mtu akanitonya nitoe kabla wakati yule dada analeta vurugu jamaa akawa ameichukuwa ndio ikawa pona yake. Tokea siku hiyo abdalah kichwa wazi nimwambia atulie mambo ya kujifanya anachagua pisi kali zina madhara.
Hii ni kamba. Mwanzoni umesema lugha zilikuwa hazipandi, lakini punde mmeweza kuwasiliana hata na mama mtu
 
Back
Top Bottom