Kisheria hili jambo la mwanamke kung'ang'ania ndani limekaaje?

Kisheria hili jambo la mwanamke kung'ang'ania ndani limekaaje?

Amfukuze tu, mwenyekiti mtaa, polisi nk
Kirahisi hivyo,unaongea ww,kauli zinaumba na ndio maana kijana unapswa kuwa makini sana unapotongoza, neno "nitakuoa" lisitoke kinywani kwako kabisa kama huna lengo hilo kweli
 
K
Katika mizunguko ya dunia, Rafiki yangu alileta mwanamke kwake (mpenzi) si unajua mambo ya Vijana tena.

Sasa kwa maelezo yake ni kwamba huyo mwanamke ambaye wamefahamiana kama miezi minne hivi na amekuwa akija kwake mara kwa mara kutoka mkoani Geita yeye (jamaa) yuko Mwanza.

Sasa basi huyu msichana alienda kwao siku moja akarudi kwamba kafukuzwa na ameng'ang'ania kuwa hatoondoka labda amuue. Na Jamaa anadai hakuwahi kuwa malengo yake (Lengo lilikuwa kuchakata Mbususu) japo alikuwa anampoza kuwa atamuoa.

Hapa kuna mambo mawili.

1. Kisheria hili jambo limekaaje? Kuna hatua anaweza kuzifanya ili kumuondoa huyu mwanamke?

2. Ni kitu gani akifanye ilii kumtoa huyu mwanamke?

Binafsi nimemshauri amwambie ukweli kuwa hamtaki sasa uchaguzi ni wake abaki au aendelee kubaki.

NB. Toka arudi week moja sasa jamaa kila mtu anaishi kivyake umo ndani.

Zingatia: Sio mwanafunzi wala hana mimba.
Kwa wingi wa mbususu zilizopo.mitaani , hakuna haja tena ya kuanza kumuongopea mtoto wa mtu na kumjaza matumaini hewa .
Swaga za kuongopea ndoa ili upate mzigo, zimepitwa na wakati. Just be straight kuwa unataka game tu no strings attached , utampata wa ku click matakwa yako
 
Back
Top Bottom