ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Leo match kati ya Simba na Yanga
Watu wamekuwa wakitoa ahadi mbalimbali ambazo Kwa sheria zetu ni kinyume kufanya lakini wengine wameahidi Kwa maandishi na wamesaini kabisa
Mfano Mwijaki ameahidi Yanga akimfunga Simba basi mke wake ni halali yetu wanayanga
Mwingine ameahidi akatwe kende.
Mwingine anyolewe,
Mwingine nyumba yake ichomwe moto.
Me nauliza tu kisheria ni halali kuteleza ahadi hizi hata kama zinawaumiza walioahidi?
Wameahidi Kwa maandishi kabisa