Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufanya kitendo chochote kinyume na sheria ni kosa hata kama umepewa ruhusa na uliemfanyia hicho kitendo.Leo match kati ya Simba na Yanga
Watu wamekuwa wakitoa ahadi mbalimbali ambazo Kwa sheria zetu ni kinyume kufanya lakini wengine wameahidi Kwa maandishi na wamesaini kabisa
Mfano Mwijaki ameahidi Yanga akimfunga Simba basi mke wake ni halali yetu wanayanga
Mwingine ameahidi akatwe kende.
Mwingine anyolewe,
Mwingine nyumba yake ichomwe moto.
Me nauliza tu kisheria ni halali kuteleza ahadi hizi hata kama zinawaumiza walioahidi?
Wameahidi Kwa maandishi kabisa
Sheria haitambui upuuzi huo.Sheria imeainisha mambo yanayoweza kufanya makubaliano kuwa enfoceable.Kasomesheria ya mikataba kifungu cha kwanza (a) hadi (f).Leo match kati ya Simba na Yanga