Kisheria ikoje ikiwa mtu ataahidi kufanyiwa kitu kubaya Kwa hiari yake

Jiridhishe kwanza kufuatilia wengi wa wanaotoa hizo ahadi! Bila shaka utakuja kugundua wana matatizo ya akili.
 
Kufanya kitendo chochote kinyume na sheria ni kosa hata kama umepewa ruhusa na uliemfanyia hicho kitendo.
 
Nampataje Mwaijaku anipe mkewe Mimi mwanachama wa Yanga
 
Sheria haitambui upuuzi huo.Sheria imeainisha mambo yanayoweza kufanya makubaliano kuwa enfoceable.Kasomesheria ya mikataba kifungu cha kwanza (a) hadi (f).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…