RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,444
- 2,032
Hapo sawa. Asante kwa ufafanuzi mkuu.Aliyoandika hapo siyo Katiba bali Ni Sheria ya Mazishi ya Viongozi wa Kitaifa Sura ya 419 ndiyo inayoeleza hivyo katika kifungu cha 8 kama kilivyooneshwa post #1.
View attachment 1728474