Kisheria, kifo cha Rais hutakiwa kuombolezwa siku 21 na sio siku 14

Mama kaona tuchape kazi kuenzi slogan ya marehemu. Kaona 14 zatosha
Hata siku 7 zingetosha tu maana ni Marehemu mwenyewe alikuwa haheshimu Katiba tungoje tuone Mrithi wake kama atafuata nyayo, yeye naye Allah akimpenda zaidi kabla hajarudisha Heshima ya Katiba, tutaomboleza siku 2 tu.
 
Nataka kujua shughuli za umma kama mashule napo tutaomboleza au
 
Hata siku 7 zingetosha tu maana ni Marehemu mwenyewe alikuwa haheshimu Katiba tungoje tuone Mrithi wake kama atafuata nyayo, yeye naye Allah akimpenda zaidi kabla hajarudisha Heshima ya Katiba, tutaomboleza siku 2 tu.
Huyu mama ni Muungwana nilimuona bunge la katiba alikuwa mpenda haki, hata marehemu Sitta alimtabiria kuwa makamu wa Rais.
 
Katiba! niliyonayo hapa inasema vitu vingine kabisa!
8.-(1) The United Republic of Tanzania which adheres to the principles of democracy and social justice and accordingly - Hapo kuna (a) hadi (d) ambazo zinazungumza vitu tofauti kabisa.

Tukija ibara ya ya 8.- (2) The structure of the Government of the United Republic and the Revolutionary Government of Zanzibar or any of their organs and the discharge of their functions shall be so effected as to take into account the unity of the United Republic and the need to promote natioal unity and preserve national dignity.
 
Wewe mwananchi wa kawaida tulia...

Huwezi jua labda tarehe aliyofariki ni tofauti na unayoijua wewe...
 
Zinatosha, wewe endelea na zako.
 
Makosa sio ya Rais wetu mteule bali wale walioandaa ile taarifa. Hapa ndio tujue wapo wapotosha katiba kwa maslahi yao nyuma ya pazia.
R.I.P JPM
 
Magu hakuwa na wasaidizi, bali alikuwa na wachumia tumbo. Sasa wameanza kumpotosha VP. Huyu mama ana kazi kubwa sana kuweka safu ya utawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…