Kisheria, kifo cha Rais hutakiwa kuombolezwa siku 21 na sio siku 14

Wabongo mna complain vitu vidogo

Kwa hiyo akisema 14 badala ya 21 uchumi ndo unashuka au? Ndo balaa la njaa linatukuta hapohapo?

Kwani lazima 21?

Imbeciles
Unajua nini maana ya neno "shall" maana yake ni lazima...
 
Wabongo mna complain vitu vidogo

Kwa hiyo akisema 14 badala ya 21 uchumi ndo unashuka au? Ndo balaa la njaa linatukuta hapohapo?

Kwani lazima 21?

Imbeciles
Muache ujinga, sasa mlikua mnaandika katiba ya nini? Katiba inawekwa ili dunia iwe na utaratibu, Fikiria kama sheria za kuhukumiwa zisungekuwepo si watu wangekua wanauana tu
 
Nyinyi ndio mlimpoteza hayati Magufuli,kwa kumpongeza hata kwenye hamna.
Leo ndio unaikumbuka katiba! Maeneo yaliyokuwa yakiongozwa na upinzani yalipokuwa yakinyimwa pesa za maendeleo ulikaa kimya, zinatosha wewe endelea na zako.
 
Mataga wamelala na viatu. Mitano tena imekuwa miezi mitano tena sio miaka
 
Kuna neno "shall"na sio "will",neno shall,ni kama hiari,anaweza atangaze siku 21 au tofauti na hizo,
 
Kwelii
 
Kuna neno "shall"na sio "will",neno shall,ni kama hiari,anaweza atangaze siku 21 au tofauti na hizo,
Kapitie vizuri madesa yako.

Will, ndio inaweza kuwa hiari.

Shall, mara nyingi inasimama kama obligation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…