Kisheria, kifo cha Rais hutakiwa kuombolezwa siku 21 na sio siku 14

Tumehesabu na zile siku tulizowaficha jamani hamjiongezi nyie Chadema?
 
Sheria ya Mazishi ya Viongozi wa kitaifa na si Katiba?!
 
Acha ushamba ndugu mbona sheria ipo wazi sasa unashadadia sheria kuvunjwa?
Kwani kuna ubaya wao kupanga siku 14 badala ya 21 ? Au kila kitu tuna criticize tu ? Zipo sheria nyingi zinavunjwa ambazo kidogo zinagusa jamii anza nanzo hizo
 
Wabongo mna complain vitu vidogo

Kwa hiyo akisema 14 badala ya 21 uchumi ndo unashuka au? Ndo balaa la njaa linatukuta hapohapo?

Kwani lazima 21?

Imbeciles
Acha uzwazwa wewe kama katiba imesema tunaheshimu katiba sio MTU aliyekosea!! Kwanini mnasujudugi watu hata wakikosea? Huu upumbavu mnautoaga wapi? Mnakera sana nyie makunguru was manzese
 
Muache ujinga, sasa mlikua mnaandika katiba ya nini? Katiba inawekwa ili dunia iwe na utaratibu, Fikiria kama sheria za kuhukumiwa zisungekuwepo si watu wangekua wanauana tu
Kwa hyo kwenye katiba umeona hilo la umuhimu au unatafuta sababu tu ?
 
Kwani kuna ubaya wao kupanga siku 14 badala ya 21 ? Au kila kitu tuna criticize tu ? Zipo sheria nyingi zinavunjwa ambazo kidogo zinagusa jamii anza nanzo hizo
Sasa sheria zimetungwa kwanini kama mtu anaamua tu kuivunja? Tujifunze kuheshimu sheria maana zimegharimu uchumi wa nchi kwenye zoezi la kuzitunga maana watu wamelipwa kwa kazi hiyo.
 
Sasa sheria zimetungwa kwanini kama mtu anaamua tu kuivunja? Tujifunze kuheshimu sheria maana zimegharimu uchumi wa nchi kwenye zoezi la kuzitunga maana watu wamelipwa kwa kazi hiyo.
"Sasa sheria zimetungwa kwanini kama" mtu anaamua tu kuivunja?

Nikujibu tu


Sio kuvunjwa tu hata kubadilishwa zinabadilishwa au kufanyiwa maboresho

Kuna vingi vya kugharimu uchumi wa nchi sio utungwaji wa sheria pekee halafu wanaotunga sheria "lawyers,members of parliament nakadhalika bado wataendelea kulipwa tu hata kama hawatungi sheria kwa wakati husika
 
Ufahamu wako unautumia kweli, au umechanganyikiwa? Ko unataka kusema waliweka hicho kifungu huku wakijua hakina umuhimu?
Ndo washasema siku 14 sasa

Watu tuendelee na majukumu yetu mnaopinga andamaneni basi
 
Yote umenena vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…