Kisheria, kifo cha Rais hutakiwa kuombolezwa siku 21 na sio siku 14

Lakini usisahau kwamba utawala wa Katiba na sheria ulitupiliwa mbali katika awamu hii. Yote yalifanyika Kisiasa na kwa utashi wa mtu binafsi.
 
Marekebisho ya sheria ni jambo ambalo lipo kisheria ila kuvunja sheria zilizopo ni kwenda kinyume na sheria husika na kudharau wananchi waliozitunga hizo sheria kupitia wawakilishi wao.

Sasa unapowadharau wananchi unategemea nini? Acha kushadadia kuvunjwa kwa sheria tii sheria zilizopo mkuu.
 
Hii nayo mmeisikiliza! Give us a break now! Hata wakati wa maombolezi!
Mmepata somo gani lakini? We give you a break now, but it is not enough, the necessary issue is for you to learn. What lesson have you got matters a lot. Baba wa Taifa alitwambia Msingi wa maendeleo n WATU, ARDHI, SIASA SAFI, na UONGOZI BORA. Mnafikiri alikuwa mjinga kusema hivyo? Ninyi mmekuja na tafsiri ya maendeleo kuwa ni vitu. Vitu ni matokeo tu ya watu kuendelea. Unaachaje kununua chakula nyumbani kwa kisingizio eti unajenga nyumba.
 

Sio kweli chakula kilinunuliwa tatizo labda ni mboga ilikuwa haibadiliki. Maharagwe kwa kwenda mbele.
 
Sio kweli chakula kilinunuliwa tatizo labda ni mboga ilikuwa haibadiliki. Maharagwe kwa kwenda mbele.
unabisha nini? Ninyi labda ni wa jana tu. Ila sisi wakongwe tuliambiwa vitu ni matokeo tu ya mtu kuendelea. Kwamba ukiendelea unaweza kununua gari, na ukajenga nyumba. Lakini msingi mkuu wa maendeleo ni Watu, Ardhi, Siasa Safi, na Uongozi Bora. Sasa wewe unabisha hilo?
 
hii ni dhahiri kuwa alikufa tar 9 march so wenzetu walishaanza maombolezo
 
kwa kuna kosa la kimungu ofisa......?
Mungu umemtoa wapi tena? Mungu ni mkamilifu ingawa alitaka kuwafutilia mbali wana wa Israel Musa aka mnasihi asifanye hivyo na akaipokea chonde chonde ya Musa.
 

Sijabisha nimesema mboga kwa maana ya vitu kama maslahi ya wafanyakazi kwa mfano.
 
Ni dalili ya watu ama uongozi iliozoea kuongoza bila kuzingatia katiba. Aliezoea kula vya kunyonga vyo kuchinja haviwezi.
 
Mama ameanza kukosea mapema sana, inabidi aongeze umakini ama sivyo watamdanganya sana.
Hapo napo muhim.Inahitaji awe na habit binafsi ya kujua na ku refer mambo otherweise watam mislead for sure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…