Kisheria ni ruksa wanaume wawili kupigana denda

Status
Not open for further replies.

Semistocles

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
1,932
Reaction score
1,126
Naliandika hili katila jicho la sheria, na kwa malengo mahususi ya kitaaluma, ya kujifunza, na kufunua wigo wa yale tusiyoyajua.

MY DISCLAIMER : sihusiki kwa vyovyote, au kwa namna yoyote na yale nitakayoyaandika. THE POST IS SOLELY FOR ACADEMIC PURPOSES.

Right....Let's go.

Sheria ya kanuni ya adhabu Kifungu nambari 154 (a-b-c) KINAKATAZA ULAWITI, AMA KATI YA WANAUME WAWILI, AMA KATI YA MWANAUME NA MWANAMKE, AMA KATI YA MTU NA MNYAMA.

Kifungu hiki kimsingi ni kwa ajili ya ulawiti, ambao sidhani kama ndio tafsiri mahususi na kamilifu ya ushoga.

Kwamfano, wanaume wawili wakila denda, au wakibusiana ni ruksa tu maana hawakatazwi na sheria yoyote ya nchi.

Au wanaume wawili wakiamua kupapasana na kuingiziana vidole, toys, au matendo yoyote ya ashiki ni ruksa tu maana hakuna sheria yoyote inayowazuia.

Kwahiyo, wanaume wawili kula denda ni ruksa tu wala haina shida, iwe hadharani au chumbani.

Kwahivyo, mashoga nchii hii, ili waishi maisha yao kwa raha mustarehe ni muhimu wakafanya vitendo vyote vya mahaba visivyohusisha muingiliano. NI RUKSA.

Nadhani hii ndio falsafa iliyowafanya watunga sheria waruhusu USAGAJI, maana hakuna sheria yoyote ya JAMUHURI ya muungano wa Tanzania inayozuia au kuadhibu Usagaji. Hivyo, kimsingi, USAGAJI NI RUKSA.

Falsafa ya watunga sheria ni kuzuia miingiliano ya tupu ya mbele na tupu ya nyuma. BASI.

Asante.
 
Mwisho mtakuja kusema ni ruksa kumuingilia mzazi kwa mbele, iwapo tu mmekubaliana

Eti kisa si kinyume cha sheria, hivi wanasheria where are your morals?
 
Mwanaume wa kweli hawezi kuandika pumba kama hizi.[/QUOTE]Ni haujamuelewa tu alifanya nikufafanua sheria ikoje lakin hakumaanisha ni jambo la ruksa kwenye jamii yetu ila ukimbana huyo anayeitwa shoga kisheria hutaweza maana sheria imezuia kuingiliana kinyume na maumbile tu basi,ila walimu wanakazi kubwa jaman Mungu awape uvumilivu
 
Mwisho mtakuja kusema ni ruksa kumuingilia mzazi kwa mbele, iwapo tu mmekubaliana

Eti kisa si kinyume cha sheria, hivi wanasheria where are your morals?
SHERIA HAIJAKATAZA USAGAJI

SHERIA HAIJAKATAZA WANAUME WAWILI KUPIGANA DENDA.

SHERIA HAIJAKATAZA WANAUME WAWILI KUFANYA VITENDO VYOVYOTE VYA ASHIKI.

ULITAKA NISEMEJE?

KWAMBA WATU WAADHIBIWE KWA MAKOSA AMBAYO HAYAJAIANISHWA KWENYE SHERIA?

HEBU TAJA JAMBO HAYA MOJA AMBALO NIMEPOTOSHA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom