Semistocles
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,932
- 1,126
Naliandika hili katila jicho la sheria, na kwa malengo mahususi ya kitaaluma, ya kujifunza, na kufunua wigo wa yale tusiyoyajua.
MY DISCLAIMER : sihusiki kwa vyovyote, au kwa namna yoyote na yale nitakayoyaandika. THE POST IS SOLELY FOR ACADEMIC PURPOSES.
Right....Let's go.
Sheria ya kanuni ya adhabu Kifungu nambari 154 (a-b-c) KINAKATAZA ULAWITI, AMA KATI YA WANAUME WAWILI, AMA KATI YA MWANAUME NA MWANAMKE, AMA KATI YA MTU NA MNYAMA.
Kifungu hiki kimsingi ni kwa ajili ya ulawiti, ambao sidhani kama ndio tafsiri mahususi na kamilifu ya ushoga.
Kwamfano, wanaume wawili wakila denda, au wakibusiana ni ruksa tu maana hawakatazwi na sheria yoyote ya nchi.
Au wanaume wawili wakiamua kupapasana na kuingiziana vidole, toys, au matendo yoyote ya ashiki ni ruksa tu maana hakuna sheria yoyote inayowazuia.
Kwahiyo, wanaume wawili kula denda ni ruksa tu wala haina shida, iwe hadharani au chumbani.
Kwahivyo, mashoga nchii hii, ili waishi maisha yao kwa raha mustarehe ni muhimu wakafanya vitendo vyote vya mahaba visivyohusisha muingiliano. NI RUKSA.
Nadhani hii ndio falsafa iliyowafanya watunga sheria waruhusu USAGAJI, maana hakuna sheria yoyote ya JAMUHURI ya muungano wa Tanzania inayozuia au kuadhibu Usagaji. Hivyo, kimsingi, USAGAJI NI RUKSA.
Falsafa ya watunga sheria ni kuzuia miingiliano ya tupu ya mbele na tupu ya nyuma. BASI.
Asante.