Kishindo cha Lissu Ngorongoro! Mkutano wa Kuvutia na Mapokezi ya Kishujaa

Kishindo cha Lissu Ngorongoro! Mkutano wa Kuvutia na Mapokezi ya Kishujaa

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
14,624
Reaction score
20,666

View: https://youtu.be/lkdsG7HDqiU

=
=

=
Video source | mwanzoTV
 
Hii ni non stop kampeni mpaka 2025, picha nzuri sana ila hatutaiona kwenye tv zile na zile zingine nyoga pamoja na magazeti maoga. Ni mtanzania astahiliye heshima kama kiongozi mkuu wa upinzani, apokewe tu kwa heshima zote
 
Huyu Mtu ni Mpango wa Mungu- Zuio la Polisi limeishia wapi sasa, na kuhutubia anahutubia tu bila ajizi... Serikali, muacheni huyu Mpakwa mafuta aendelee kuwaelimisha watanzania... ajabu had Wamasai nao wanamkubari.. ni mpango wa Mungu tu.
 
huyu anakubalika na watanzania wote walichoshwa na sera chakavu za chama cha kijani
 
Ila Kitenge sijui kaahidiwa nini na wanaomtuma.

Inaonekana alitoka saa 12 alfajiri kupiga hii picha ili kuwa delude wafuasi wake.

Screenshot_20230908-172504.png
 
Huyu Mtu ni Mpango wa Mungu- Zuio la Polisi limeishia wapi sasa, na kuhutubia anahutubia tu bila ajizi... Serikali, muacheni huyu Mpakwa mafuta aendelee kuwaelimisha watanzania... ajabu had Wamasai nao wanamkubari.. ni mpango wa Mungu tu.
Swali | Je kwanini Serikali inamhofia sana mtu huyu?
 
Polisi CCM wameufyata mkia mbele ya mpakwa mafuta wa Bwana, Hakika ukombozi u mlangoni.
 
1694184708652.png

Ametimiza Ahadi | Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho!
 
Polisisiemu siwalisema akienda uko watamdaka wamuweke ndani au Central zimejaa? Yani watu wanaenda kuwaelimisha waondoke yeye anaenda kuwaelimisha wabaki [emoji1][emoji1787]
 
ishu ya wamasai ni kuhamishwa eneo hilo kwenda kule walikoanzishiwa kijiji mkoani Tanga. Sasa wanaona Lisu ni mtetezi wao wa kuwatetea wabaki hapo Ngorongoro
 
Kosa lao ni kuzaliwa na kuishi kwenye ardhi ambayo ni potential, bila mkakati wa kitaifa wa kuwatetea hii jamii ya kifugaji itahangaika sana na baadaye kupotea.

Yaani ni sawa na wewe mzanzibar ghafla tu unaambiwa uhamie Tabora, kama si kukutafutia kifo ni nini.
 
Back
Top Bottom