Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani huyu jamaa kesha kosa heshima TZ, na a azidi kujiabisha. Unajua watu wanadhani kuwa na pesa na jina mjini ni ujanja, kumbe unaweza kuwa na jina na pamoja na pesa ulizonazo unadharaulika. Bora jina jema kuliko Mali... Lisu anajina Bora.. Na hivyo heshima yake itaenda vizazi na vizazi... And so is unbeatable!Ila Kitenge sijui kaahidiwa nini na wanaomtuma.
Inaonekana alitoka saa 12 alfajiri kupiga hii picha ili kuwa delude wafuasi wake.
View attachment 2743322
=ishu ya wamasai ni kuhamishwa eneo hilo kwenda kule walikoanzishiwa kijiji mkoani Tanga. Sasa wanaona Lisu ni mtetezi wao wa kuwatetea wabaki hapo Ngorongoro
https://youtu.be/nP9a9ZErwxg