Yaani huyu jamaa kesha kosa heshima TZ, na a azidi kujiabisha. Unajua watu wanadhani kuwa na pesa na jina mjini ni ujanja, kumbe unaweza kuwa na jina na pamoja na pesa ulizonazo unadharaulika. Bora jina jema kuliko Mali... Lisu anajina Bora.. Na hivyo heshima yake itaenda vizazi na vizazi... And so is unbeatable!
ishu ya wamasai ni kuhamishwa eneo hilo kwenda kule walikoanzishiwa kijiji mkoani Tanga. Sasa wanaona Lisu ni mtetezi wao wa kuwatetea wabaki hapo Ngorongoro