Uongozi wa Rais Samia Suluhu ambao umeimarisha utawala bora, utengamano wa kisiasa na utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo, umezidi kumpa mvuto kwa watanzania wa kada tofauti, ambao wengi wao wamesema anatosha kukalia tena kiti hicho katika uchaguzi mkuu a 2025.
Pia wamempongeza kwa kuimarisha amani, furaha na matumaini kwa Watanzania kupitia utawala bora wa kuzingatia haki, sheria na kuimarisha mifumo ya haki jinai.
Kwa mujibu wa maoni ya wananchi mbalimbali inaonyesha kuwa Rais Samia Suluhu atapita 2025 bila kupingwa hii inatokana na matokeo makubwa ya ushawishi wa kisiasa na maendeleo maana amefanikiwa kufilisiajenda zote za wapinzani.
Watanzania wote tunasema tuko na Mama hadi 2030 hatuna wasiwasi