Uchaguzi 2020 Kishindo kikubwa Musoma: Lissu apokelewa kama shujaa

Na ndio maana kila mara wanarudi kwenye drawing table hawajui wajibuje
Sasa drsft lao limerudishwa kwa tume na vyombo vya dola. Kwa sanduku la kura jamaa hatoboi.
Leo kakimbia ratiba yake ya Iringa baada ya kuambiwa hatapata watu. Ratiba ikaenda jumatatu lakini hakuna shule wala ofisi za serikali hazita kuwa wazi. Bado malori nayo yameaha anza kusomba watu toka mikoa ya jirani na vijijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…