Uchaguzi 2020 Kishindo kikubwa Musoma: Lissu apokelewa kama shujaa

Uchaguzi 2020 Kishindo kikubwa Musoma: Lissu apokelewa kama shujaa

nimewapenda bure polisi wetu wanaoonekana kwenye clip. so much much love.
 
Kwavyovyote vile jp asipewe nchi hawezi shinda kabisa labda dola isaliti umma ikifikia hapa damu itamwagika ila hatimae mshindi ni umma.
 
Mbeba maono.

Sauti ya Mtu aliaye Nyikani.

Leo palikuwa hapatoshi,nimefarijika sana .

Julius Mwita lazima apate Ubunge ,

Tundu Lissu hakuna kipingamizi Ikulu inamuhusu.

Anafaa kuongoza Taifa lililoparanganyika,na kuleta umoja kwa Wananchi.
 
Kwavyovyote vile jp asipewe nchi hawezi shinda kabisa labda dola isaliti umma ikifikia hapa damu itamwagika ila hatimae mshindi ni umma.
Umma utashinda tu hakuna historia ya umma kushindwa, hakuna.
 
Sasa drsft lao limerudishwa kwa tume na vyombo vya dola. Kwa sanduku la kura jamaa hatoboi.
Leo kakimbia ratiba yake ya Iringa baada ya kuambiwa hatapata watu. Ratiba ikaenda jumatatu lakini hakuna shule wala ofisi za serikali hazita kuwa wazi. Bado malori nayo yameaha anza kusomba watu toka mikoa ya jirani na vijijini
Kule Iringa magufuli Bila kumleta diamond au harmonize watu hawataenda kabisa hakuna dalili kabisa ya watu kumuelewa
 
Haha sema mkuu wapinzani huwa wanajua kujifariji, yaani huwezi amini mtu kama Lisu wanamwita Rais mteule , jamaa hana hata uhakika wa kura elfu moja.
Una roho ngumu ndugu yangu...


LissuTA.jpg
 
Kwa kweli Lissu anapendwa kwa dhati na watu. Musoma waridima kwa vifijo vikuu kumpokea Lissu.
Hakuna shaka wala ubishi kuwa Lissu anapata nyomi, kwenye kampeni zake. Upande wa pili anawaacha yatima wagombea wa chama chake. Watabaki uchi wakipanda jukwaani kuomba kura kwa sababu ya kauli zake za chuki na uchonganishi, ambazo kimsingi UBINAFSI ndio umemtawala.

Kwa kauli zake katika kampeni, anakopita Lissu, anaacha masuala mazito yenye kuhitaji ufafanuzi. Ajue kwamba anawaachia wagombea Ubunge na Udiwani mtihani mkubwa wa kufafanua tuhuma anazomshushia Magufuli.

Anajua wazi hawezi kupata muda wa kupita kila Jimbo na Kata la uchaguzi kufafanua. Matokeo yake wagombea wa mpinzani wake (kwa kauli yake "ama zake ama za Magufuli") wanatumia uzushi wa tuhuma zake kuwaondoa ulingoni wagombea wake. Km anadai wajawazito wanatozwa kodi, ambao ni uongo. Je, mgombea wake atathubutu kutetea kauli hiyo? Anadai kitambulisho cha mjasiriamali ni kiini macho cha CCM wakati si kweli, je, wagombea wa CHAMA chake watathubutu kutetea kauli hiyo?

Tarehe 28/10/2020 Watanzania wataamua
 
Nilichogundua toka hizi kampeni zimeanza, kwenye kampeni za CCM watu ni wengi lakini sijawahi ona wakimshangilia mgombea wao zaidi ya kusimama barabarani kumshangaa.

Ila huku upande wa pili naona watu wana hamasa sana na furaha kila wakimuona TAL
Hiyo furaha wataitoa wapi kama wamelazimishwa kufunga maofisi yao na wanafunzi kunyofolewa madarasani? Hata mimi ningesimama kama nguzo ya umeme ilimradi nimeongeza idadi ya vichwa wafurahi ccm. Ila kwa Lisu shangwe, vifijo, nderemo, vigekegele na miluzi lazima vitawale maana wamejitokeza wenyewe kwa ihari yao.

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom