Uchaguzi 2020 Kishindo kikubwa Musoma: Lissu apokelewa kama shujaa

Uchaguzi 2020 Kishindo kikubwa Musoma: Lissu apokelewa kama shujaa

Kikao cha wakurugenzi na rais leo hayo ndio yalikuwa maagizo. Hata wapinzani wapate kura nyingi kiasi gani, hayo ndio matokeo yanayotakiwa na ccm.
Wakurigenzi wana kazi kubwa na nzito.
 
Hakuna shaka wala ubishi kuwa Lissu anapata nyomi, kwenye kampeni zake. Upande wa pili anawaacha yatima wagombea wa chama chake. Watabaki uchi wakipanda jukwaani kuomba kura kwa sababu ya kauli zake za chuki na uchonganishi, ambazo kimsingi UBINAFSI ndio umemtawala.

Kwa kauli zake katika kampeni, anakopita Lissu, anaacha masuala mazito yenye kuhitaji ufafanuzi. Ajue kwamba anawaachia wagombea Ubunge na Udiwani mtihani mkubwa wa kufafanua tuhuma anazomshushia Magufuli.

Anajua wazi hawezi kupata muda wa kupita kila Jimbo na Kata la uchaguzi kufafanua. Matokeo yake wagombea wa mpinzani wake (kwa kauli yake "ama zake ama za Magufuli") wanatumia uzushi wa tuhuma zake kuwaondoa ulingoni wagombea wake. Km anadai wajawazito wanatozwa kodi, ambao ni uongo. Je, mgombea wake atathubutu kutetea kauli hiyo? Anadai kitambulisho cha mjasiriamali ni kiini macho cha CCM wakati si kweli, je, wagombea wa CHAMA chake watathubutu kutetea kauli hiyo?

Tarehe 28/10/2020 Watanzania wataamua
Sawa
 
Si waruhusu tu media ziandike habari za upinzani wanazizuia za Nani Hali watu still wanajaa mikutano ya upinzani. Mind control haliwezekani kwa akili za kijima
 
CCM wamepigwa butwaa, hawakutalajia UFUFUKO wa upinzani kiasi hiki. Kabla TL kuja watu walivunjika moyo alijua mwaka huu Ccm itateleza tu. TL is a real GAME CHANGER, sas wanateseka na hapo bado. Alichokifanya TL amewalisha waTanzania sumu ya urahia. Nchi Nzima sas hivi inajua kila kitu kuhus utawala hui wa miaka 5 iliyopita.aonevu ambayo hawakujua
Maana mambo mengi hasa machafu ya awamu hii yalikuwa hayasemwi
Lisu kaja kufungua watu [emoji123]
 
Wewe ni mmoja wa watakaokuwa wanalalamikia na kulilia Katiba mpya baada ya matokeo ya uchaguzi kwa kigezo kongwe cha kuibiwa kura
1995 - Watanzania walikua bado na hofu na makovu ya ukoloni, hivo walikuwa wakidanganywa kuwa Mrema angewarejesha wakoloni, na kwakua uwezo wa kuhoji na kujenga hoja haukuwepo hivo watu waliafiki, pia ikumbukwe Wasomi walikuwa wakutafuta na tochi hivo hapakuwa na wakumwelimisha mwenzie ukweli wa mambo halisi.

2010 - CCM wanaelewa sana kwanini Waliruhusu kuanza mchakato wa kupata katiba mpya, punch alizopigwa Kikwete na Dr. Slaa hazikuwa za nchi hii. Kikwete aliachwa mbali sana. Sema Chadema kwa wakat ule waliamini CCM wamejifunza na Wataplay fair next time.

2015 - Kuanzia Mbingu mpaka ardhi kila mtu anajua magufuli hakushinda, timu ya kuchakachua matokeo iliyokuwa masaki ikiongozwa na January, Nape na Kijana ndio iliyompa magufuli ushindi na siyo kura wananchi, baada tu ya Kutangazwa matokeo, haraka sana aliletwa TB Joshua.

2020 - Lissu siyo Lowassa wala Watanzania siyo wale wa 1995, sasa hiv wengi wanajua nini wanataka, na bahati nzuri wanajua kuhoji, nzuri zaidi kipindi hiki habari husambaa kwa kasi kwa uwepo wa mitandao.

#Tambua:

Mzaliwa wa 2002 kipindi hiki anapiga kura, huyu haijui CCM kiundani, Katika ukuaji wake ndipo Chadema nayo ilikuwa ikijijenga kutoka kuwa Mshindi wa 3 (2005) Uchaguzi mkuu mpaka kuwa Chama kikuu cha upinzani mwaka 2010, huyu anazijua siasa za upinzani siyo za CCM hivo tarajia vijana wengi sana kuchagua upinzani.
 
Misemo ya Miaka yote hiyo
Kwani 2015 si mlidanganywa kuna kesi imefunguliwa ICC au mnajisahaulisha
Whatever! this is 2020, leo siyo jana au juzi! ICC inamuita mtu, hakuna mchezo safari hii!
 
Acha uongo mkuu,hii ni video ambapo wananchi wa Tanganyika walikuwa wana pokea majeshi ya tanzania kutoka kwny vita ya uganda mwaka 1979.
Kwahiyo kipindi hicho ili kua vyama vingi vimesha anzishwa maana kuna bendera zs chadema na sare za chadema pale

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna shaka wala ubishi kuwa Lissu anapata nyomi, kwenye kampeni zake. Upande wa pili anawaacha yatima wagombea wa chama chake. Watabaki uchi wakipanda jukwaani kuomba kura kwa sababu ya kauli zake za chuki na uchonganishi, ambazo kimsingi UBINAFSI ndio umemtawala.

Kwa kauli zake katika kampeni, anakopita Lissu, anaacha masuala mazito yenye kuhitaji ufafanuzi. Ajue kwamba anawaachia wagombea Ubunge na Udiwani mtihani mkubwa wa kufafanua tuhuma anazomshushia Magufuli.

Anajua wazi hawezi kupata muda wa kupita kila Jimbo na Kata la uchaguzi kufafanua. Matokeo yake wagombea wa mpinzani wake (kwa kauli yake "ama zake ama za Magufuli") wanatumia uzushi wa tuhuma zake kuwaondoa ulingoni wagombea wake. Km anadai wajawazito wanatozwa kodi, ambao ni uongo. Je, mgombea wake atathubutu kutetea kauli hiyo? Anadai kitambulisho cha mjasiriamali ni kiini macho cha CCM wakati si kweli, je, wagombea wa CHAMA chake watathubutu kutetea kauli hiyo?

Tarehe 28/10/2020 Watanzania wataamua
Magufuli kasemaje kuhusu kitambulisho kwani,watu tunataka hela zetu manina
 
Back
Top Bottom