Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mwaka huu tunapiga kura tu.Huku si ndiko kipindi fulani walipiga deki barabara?
Kama vile Yesu anaingia Yerusalem😂😂Bunda mvua kwao BARAKA
Ni mteule uwe hutaki , umepemde usimpendeHaha sema mkuu wapinzani huwa wanajua kujifariji,
Yaani huwezi amini mtu kama Lisu wanamwita Rais mteule , jamaa hana hata uhakika wa kura elfu moja.
1995 - Watanzania walikua bado na hofu na makovu ya ukoloni, hivo walikuwa wakidanganywa kuwa Mrema angewarejesha wakoloni, na kwakua uwezo wa kuhoji na kujenga hoja haukuwepo hivo watu waliafiki, pia ikumbukwe Wasomi walikuwa wakutafuta na tochi hivo hapakuwa na wakumwelimisha mwenzie ukweli wa mambo halisi.Sijui Watu wanasahau kwa haraka sana au pengine wengi walikuwa watoto sana 1995,2010 na 2015
Yaani 2020 anataka kulinganisha na 1995?? Ambapo hata mwanafunzi wa form 4 alikuwa wakutafuta kwa tochi?? 2020 ni ubabe juu ya ubabe na Lissu ameshawatia wananchi ujasiri mkubwa sana.1995 - Watanzania walikua bado na hofu na makovu ya ukoloni, hivo walikuwa wakidanganywa kuwa Mrema angewarejesha wakoloni, na kwakua uwezo wa kuhoji na kujenga hoja haukuwepo hivo watu waliafiki, pia ikumbukwe Wasomi walikuwa wakutafuta na tochi hivo hapakuwa na wakumwelimisha mwenzie ukweli wa mambo halisi.
2010 - CCM wanaelewa sana kwanini Waliruhusu kuanza mchakato wa kupata katiba mpya, punch alizopigwa Kikwete na Dr. Slaa hazikuwa za nchi hii. Kikwete aliachwa mbali sana. Sema Chadema kwa wakat ule waliamini CCM wamejifunza na Wataplay fair next time.
2015 - Kuanzia Mbingu mpaka ardhi kila mtu anajua magufuli hakushinda, timu ya kuchakachua matokeo iliyokuwa masaki ikiongozwa na January, Nape na Kijana ndio iliyompa magufuli ushindi na siyo kura wananchi, baada tu ya Kutangazwa matokeo, haraka sana aliletwa TB Joshua.
2020 - Lissu siyo Lowassa wala Watanzania siyo wale wa 1995, sasa hiv wengi wanajua nini wanataka, na bahati nzuri wanajua kuhoji, nzuri zaidi kipindi hiki habari husambaa kwa kasi kwa uwepo wa mitandao.
#Tambua:
Mzaliwa wa 2002 kipindi hiki anapiga kura, huyu haijui CCM kiundani, Katika ukuaji wake ndipo Chadema nayo ilikuwa ikijijenga kutoka kuwa Mshindi wa 3 (2005) Uchaguzi mkuu mpaka kuwa Chama kikuu cha upinzani mwaka 2010, huyu anazijua siasa za upinzani siyo za CCM hivo tarajia vijana wengi sana kuchagua upinzani.
Kwa kweli Lissu anapendwa kwa dhati na watu. Musoma waridima kwa vifijo vikuu kumpokea Lissu.
Yaani nyuso za watu kwenye kampeni zinasema mengiHiyo furaha wataitoa wapi kama wamelazimishwa kufunga maofisi yao na wanafunzi kunyofolewa madarasani? Hata mimi ningesimama kama nguzo ya umeme ilimradi nimeongeza idadi ya vichwa wafurahi ccm. Ila kwa Lisu shangwe, vifijo, nderemo, vigekegele na miluzi lazima vitawale maana wamejitokeza wenyewe kwa ihari yao.
Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
Na ukute hawana hata vitambulishi vya kupigia kura hapo....😅Hii nyomi balaa,na hapo hakuna cha Fiesta wala nini
Hii ni moja ya tofauti kubwa na ya msingi sana kati ya mikutano ya Lissu na ile ya Magufuli ambayo hata mimi imeniingia kichwani kwa muda sasa.Nilichogundua toka hizi kampeni zimeanza, kwenye kampeni za CCM watu ni wengi lakini sijawahi ona wakimshangilia mgombea wao zaidi ya kusimama barabarani kumshangaa.
Ila huku upande wa pili naona watu wana hamasa sana na furaha kila wakimuona TAL
Yaani kuna tofauti kubwa sana mkuu, tusubiri oct 28Hii ni moja ya tofauti kubwa na ya msingi sana kati ya mikutano ya Lissu na ile ya Magufuli ambayo hata mimi imeniingia kichwani kwa muda sasa.
Miaka hiyo ccm tulivuka kwa wizi wa kura na kupindisha matokeo, yaani aliyeshindwa anatangazwa mshindi. Majira hii hayo hayawezekaniSijui Watu wanasahau kwa haraka sana au pengine wengi walikuwa watoto sana 1995,2010 na 2015
Nasikia yupo Dodoma kwa kikao Cha dharura na wakurugenzi ambao ndo watakaosimamia uchaguziNyie mlikuwa mnasema 2020 chadema itakuwa imeshakufa sasa naona mnabadili ubeti, bado vina na mshazali, wakwenu hivi yupo wp sku ya nne sasa haonekani uwanjani na ratiba inaonesha leo alitakiwa kuwa iringa
Poleni in advance
Acha kukariri.Sijui Watu wanasahau kwa haraka sana au pengine wengi walikuwa watoto sana 1995,2010 na 2015
CCM wamepigwa butwaa, hawakutalajia UFUFUKO wa upinzani kiasi hiki. Kabla TL kuja watu walivunjika moyo alijua mwaka huu Ccm itateleza tu. TL is a real GAME CHANGER, sas wanateseka na hapo bado. Alichokifanya TL amewalisha waTanzania sumu ya urahia. Nchi Nzima sas hivi inajua kila kitu kuhus utawala hui wa miaka 5 iliyopita.aonevu ambayo hawakujuaHuyu ndie tuliekuwa tunamsubiri atuvushe
Unafahamu vipi haya ilihali kura hazijapigwa zikahesabiwa?