Kishindo Mkutano Mkuu CHADEMA ; Mabalozi na Taasisi za Kimataifa wathibitisha kushiriki!

Ni moja yamikutano mikubwa sana katika bara la Africa
Hahahaaaa......hahahaaaaa......hahahaaaaa.........!

Ruzuku ya CCM imeongezeka kutoka sh 12 bilioni mwaka 2015/16 hadi sh 13 bilioni mwaka 2018/19.....Unajua ni kwanini?

Maendeleo hayana vyama!
 
Lissu atahdhuria? Kama hatahudhuria kampeni atapigaje? Au atapiga kampeni za maruhani?
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Siasa Za Maridhiano Na Amani Ndiyo Tanzania Tunataka Ili Kesho Nchi Yetu Iwe Nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…