Kishindo Mkutano Mkuu CHADEMA ; Mabalozi na Taasisi za Kimataifa wathibitisha kushiriki!

Kishindo Mkutano Mkuu CHADEMA ; Mabalozi na Taasisi za Kimataifa wathibitisha kushiriki!

Nafikiri tungerekebisha iyo kauli ya watu mashuhuri na wenye nyazifa mbali mbali... Kwenye bango lako hujaweka kuhutubia wananchi na wapiga kura wa chama icho ambao ndo sisi raia... Umeweka watu wenye uwezo kifedha na kimamlaka... Na hao sio wapiga kura wenu!!! Wapiga kura ni sisi so mleta uzi ukiwa unaandika usionyeshe kugawa chama kwa kauli nyepesi nyepesi na kuwa mnaitaji watu matajiiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waalikeni Maraisi, PMs, Makatibu wakuu wa vyama wastaafu wote, viongozi wa dini haswa wale wasiofuata mafunzo ya dini ya kutokuwa na upendeleo ama kuungamana na upande mmoja, haswa Bakwata na Roman Catholic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini mnafanyia mkutano maeneo ya kifahari ili hali wapiga kura wenu ni maskini

Inaboa sana kwa kweli
muulize jiwe kwanini ananunua ndege wakati wananchi wake ni masikini
 
Kwanini mnafanyia mkutano maeneo ya kifahari ili hali wapiga kura wenu ni maskini

Inaboa sana kwa kweli
Wanachama wa chadema hakuna maskini anayeishi kwa kuunga unga, sote tunajielewa ,maskini na wajinga utawakuta ccm
 
Waalikeni Maraisi, PMs, Makatibu wakuu wa vyama wastaafu wote, viongozi wa dini haswa wale wasiofuata mafunzo ya dini ya kutokuwa na upendeleo ama kuungamana na upande mmoja, haswa Bakwata na Roman Catholic

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni muhimu kwa kuwa chadema ndio chama pekee kinaunganisha taifa.
 
"Katika kuelekea mkutano mkuu wa Desemba 18 ulinzi umeimarishwa katika maeneo yote ya Mlimani City ulipo ukumbi utakaotumika huku askari waliovalia kiraia na wenye sare wakionekana kurandaranda wakiwemo vijana wa ulinzi wa chama hicho Red Brigade"
Hao askari hawaipendi kazi yao,au hawajasikia ya huko Pemba?
Mkuu wapo hapo kisheria.Isitoshe mkutano unaohudhuriwa na mabalozi na Taasisi za kimataifa hakuna namna lazima ulindwe wapende wasipende
 
Back
Top Bottom