Kama hamjamualika Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania huo mkutano haujakamilika
aalikwe for whatKama hamjamualika Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania huo mkutano haujakamilika
kipenzi au adui wa watanzania,Kama hamjamualika Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania huo mkutano haujakamilika
muulize jiwe kwanini ananunua ndege wakati wananchi wake ni masikiniKwanini mnafanyia mkutano maeneo ya kifahari ili hali wapiga kura wenu ni maskini
Inaboa sana kwa kweli
Wanachama wa chadema hakuna maskini anayeishi kwa kuunga unga, sote tunajielewa ,maskini na wajinga utawakuta ccmKwanini mnafanyia mkutano maeneo ya kifahari ili hali wapiga kura wenu ni maskini
Inaboa sana kwa kweli
Hii ni muhimu kwa kuwa chadema ndio chama pekee kinaunganisha taifa.Waalikeni Maraisi, PMs, Makatibu wakuu wa vyama wastaafu wote, viongozi wa dini haswa wale wasiofuata mafunzo ya dini ya kutokuwa na upendeleo ama kuungamana na upande mmoja, haswa Bakwata na Roman Catholic
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachama wa chadema hakuna maskini anayeishi kwa kuunga unga, sote tunajielewa ,maskini na wajinga utawakuta ccm
Sote tuseme ameni.Mungu ibariki Chadema
Wasio na njaa ,hawadanganyiki kwa chumvi na sukari ya siku moja.
Lipumba alidhani mtaji wa chama chake ni CCM ambao ni watu kama ninyi. Ila leo mumemgeukaTehetehe eti kishindo
Waalike waje kuwaaga,mwakani chama kikuu cha upinzani ni ACT.Sio mimi ni hesabu tu
Ha Ha HaaLabda alishindwa tu kutoa ushauri wa mkutano ule ufanyike Mwz au Chato.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wapo hapo kisheria.Isitoshe mkutano unaohudhuriwa na mabalozi na Taasisi za kimataifa hakuna namna lazima ulindwe wapende wasipende"Katika kuelekea mkutano mkuu wa Desemba 18 ulinzi umeimarishwa katika maeneo yote ya Mlimani City ulipo ukumbi utakaotumika huku askari waliovalia kiraia na wenye sare wakionekana kurandaranda wakiwemo vijana wa ulinzi wa chama hicho Red Brigade"
Hao askari hawaipendi kazi yao,au hawajasikia ya huko Pemba?
Kama hamjamualika Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania huo mkutano haujakamilika
AminaMungu ibariki Chadema