Kishindo Mkutano Mkuu CHADEMA ; Mabalozi na Taasisi za Kimataifa wathibitisha kushiriki!

Tatizo la Makere ndo hilo. Kutangaza mambo yenu hata kabla. Kwani lazima kutamba aina ya wageni watakaoshiriki?? Ili iweje nauliza tu. Wanakuja wakuu wa nchi nyingine au??
 
Kwa hiyo wagombea wengine watapata muda gani wa kujinadi katika nafasi zao ilihali wakati wote Mbowe anatumia majukwaa ya chama kujinadi

Mmepanga siku moja kabla kuteua majina ili wakifanya kampeni kabla ya siku hiyo muwakate kwa kisingizio cha kufanya kampeni kabla ya kuteuliwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la Makere ndo hilo. Kutangaza mambo yenu hata kabla. Kwani lazima kutamba aina ya wageni watakaoshiriki?? Ili iweje nauliza tu. Wanakuja wakuu wa nchi nyingine au??
Kwani kuna dhambi gani watu kujua?
 
Haki Itatendeka na Kamati Kuu itateua wagombea kwa Haki.Kamati Kuu ikiona Mbowe hafai itamla kichwa
 
Hakika.Mkutano huu umekuwa gumzo kila kona
Ni gumzo tulio kwenye mitandao lkn huku nilipo hapa Seita wilaya ya Kilindi hawana habari kabisa. Tunadangwanywa sana kweli 2020 jipangeni vzr mmezoofishwa sana. Mi ningeshauri Upinzani uwe na mikutano huko huko waliko sio lazima wa Arusha aje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudhoofishwa maana yake ni nini? Unaweza kunipa dalili?
 
Huku sio kujua bali kutamba. Inamaana hamkutegemea hao wahudhurie?? Kwa nini mkapeleka mialiko?? Tusisherehekee kabla ya siku
Hata mimi hili tatizo nimeliona, mara kwa mara wanapenda kutoa habari kama vile wanawaringishia watu fulani Mara "kishindo" mara "kuliamsha" mara "kuunguruma"; mpaka inaleta picha ya uchokozi. Anyway watanzania tunapenda mipasho inawezekana shida nd'o iko hapo.
 
CCM Bana...Mbona mna hofu hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…