Kishindo Mkutano Mkuu CHADEMA ; Mabalozi na Taasisi za Kimataifa wathibitisha kushiriki!

Kishindo Mkutano Mkuu CHADEMA ; Mabalozi na Taasisi za Kimataifa wathibitisha kushiriki!

Kama hamjamualika Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania huo mkutano haujakamilika
Usiwalazimishe Watanzania kumpenda mtu anayewatukana hadharani. Kuwaambia waajiri wake: "Wakaolewe," ni kiwango cha juu cha ulevi wa madaraka uliopitiliza!!!
 
SAHIHISHA HAPO WEKA ATAHUTUBIA WANACHAMA SI KUHUTUBIA TAIFA
Ya wanachama milioni sita tutamsikiliza kwa bashasha na hamu, mwambieni mwenyekiti wenu ule mpango wake wa kuzimu eti kusambaratisha upinzani umebuma labda kwa cuf kidogo amefanikiwa.

Mwambieni ule mpango wake ndio umewaimarisha sana upinzani na kuwafanya wamoja,shetani hata siku moja awezi pambana na mungu na akashinda, pumbav.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom