Kishindo: Yusuph Manji atikisa Mkutano wa Yanga Chang'ombe

Hizi timu za kiswahili hizi? wataendelea kujikomba kwa matajiri hadi lini?

Mbaya zaidi zimeua timu za mikoa, mashirika mbalimbali, pamoja na taasisi za mpira

Ni jambo la kawaida mtu kuhujumu timu ya mkoa wake ili hizi timu mbili ambazo zinaathiri uchumi wa nchi, zinaletea watu uzuzu ws kufikiri.

Utakuta mchezaji kasajiliwa na timu tofauti na hizi lakini utasikia ni mshabiki wa timu hizi

Zimeua michezo tofauti na soka, viwanja vya michezo mingine havipo

Mtoto anazaliwa anakosa alternative ya mchezo hata angekuwa ana kipaji cha volleyball, basket, handbal, tenis, riadha nk hana sehemu ya kujiendeleza kila mtu anayekutana naye ni maneno ya SIMBA,YANGA, MYAMA, UTOPOLO,
 
😆😆😆
 
Uto wanashangilia ujinga wanadhani timu inajengwa kwa msimu mmoja. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka Mchakato wao ukae sawa Simba SC tayari Bingwa wa Afrika.

Hata hivyo Kanjibai Manji alikuwepo akaahidi kuifanya Yanga SC kuwa Klabu Bora Afrika, kujenga Uwanja wa Kaunda lakini Vyote Vilibuma.

Kwahivyo hana Maajabu Yaani..[emoji2957]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nipe history kidgo pindi kanjibai yupo hapo clabuni Yanga walifanikiwa kufika wapi kwenye mashindano ya africa
 
Kama nakuunga mkono hivi.
 
Mpaka Mchakato wao ukae sawa Simba SC tayari Bingwa wa Afrika.

Hata hivyo Kanjibai Manji alikuwepo akaahidi kuifanya Yanga SC kuwa Klabu Bora Afrika, kujenga Uwanja wa Kaunda lakini Vyote Vilibuma.

Kwahivyo hana Maajabu Yaani..[emoji2957]
Kwani, Unateseka ukiwa wapi? Wewe hapo simba umechangia nini zaidi ya kulamba miguu ya bwana yule? Fikiria kidogo tu?
 

Nitajie timu ambayo haijikombi kwa tajiri kati ya hizi timu mbili
 
Eti kaingia na kishindo, ujinga kabisa, yani mshazoe upuuzi na ndio mana hata kalinyo nae mlisema hivi hivi, sapongo,fiston,kaze,etc. Rejea hersi alivyotoka congo mlimbeba kama mfalme, mwisho wa msimu lawama kwa tff.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…