Hizi timu za kiswahili hizi? wataendelea kujikomba kwa matajiri hadi lini?
Mbaya zaidi zimeua timu za mikoa, mashirika mbalimbali, pamoja na taasisi za mpira
Ni jambo la kawaida mtu kuhujumu timu ya mkoa wake ili hizi timu mbili ambazo zinaathiri uchumi wa nchi, zinaletea watu uzuzu ws kufikiri.
Utakuta mchezaji kasajiliwa na timu tofauti na hizi lakini utasikia ni mshabiki wa timu hizi
Zimeua michezo tofauti na soka, viwanja vya michezo mingine havipo
Mtoto anazaliwa anakosa alternative ya mchezo hata angekuwa ana kipaji cha volleyball, basket, handbal, tenis, riadha nk hana sehemu ya kujiendeleza kila mtu anayekutana naye ni maneno ya SIMBA,YANGA, MYAMA, UTOPOLO,