Kichwa ulichonacho kimebeba ubongo wa nyumbu,bila mbeleko hata kombe la mapinduzi ni ndotoMpaka Mchakato wao ukae sawa Simba SC tayari Bingwa wa Afrika.
Hata hivyo Kanjibai Manji alikuwepo akaahidi kuifanya Yanga SC kuwa Klabu Bora Afrika, kujenga Uwanja wa Kaunda lakini Vyote Vilibuma.
Kwahivyo hana Maajabu Yaani..[emoji2957]
Vidudu mtoni hivyo ameletewa na mshikaji wake kutoka marekani 🤣🤣🤣.Kumbe mzee Mpili huwa ana saa ya mkononi,mbona havaagi sasa siku za kawaida mpaka kuwe na mkutano![emoji23]
baada ya kuwa terrorized na shetaniMpaka Mchakato wao ukae sawa Simba SC tayari Bingwa wa Afrika.
Hata hivyo Kanjibai Manji alikuwepo akaahidi kuifanya Yanga SC kuwa Klabu Bora Afrika, kujenga Uwanja wa Kaunda lakini Vyote Vilibuma.
Kwahivyo hana Maajabu Yaani..[emoji2957]
Wengine nyie Utopolo Nati zimelegea kichwani, sasa wewe Uto una mpira gani mpaka upewe mbeleko? Weka mafanikio ya Kanjibai Manji hapa, acha Wenge.Kichwa ulichonacho kimebeba ubongo wa nyumbu,bila mbeleko hata kombe la mapinduzi ni ndoto
Dunia ya sasa mpira bila matajiri utauendesha vipi?Hizi timu za kiswahili hizi? wataendelea kujikomba kwa matajiri hadi lini?
Mbaya zaidi zimeua timu za mikoa, mashirika mbalimbali, pamoja na taasisi za mpira
Ni jambo la kawaida mtu kuhujumu timu ya mkoa wake ili hizi timu mbili ambazo zinaathiri uchumi wa nchi, zinaletea watu uzuzu ws kufikiri.
Utakuta mchezaji kasajiliwa na timu tofauti na hizi lakini utasikia ni mshabiki wa timu hizi
Zimeua michezo tofauti na soka, viwanja vya michezo mingine havipo
Mtoto anazaliwa anakosa alternative ya mchezo hata angekuwa ana kipaji cha volleyball, basket, handbal, tenis, riadha nk hana sehemu ya kujiendeleza kila mtu anayekutana naye ni maneno ya SIMBA,YANGA, MYAMA, UTOPOLO,
Kwa Afrika labda Simba awe bingwa wa ndondo cup.Mpaka Mchakato wao ukae sawa Simba SC tayari Bingwa wa Afrika.
Hata hivyo Kanjibai Manji alikuwepo akaahidi kuifanya Yanga SC kuwa Klabu Bora Afrika, kujenga Uwanja wa Kaunda lakini Vyote Vilibuma.
Kwahivyo hana Maajabu Yaani..[emoji2957]
Mbona watu wa Bunju kama wameumia sana? Ndiyo hivyo msiempenda kaja!Wengine nyie Utopolo Nati zimelegea kichwani, sasa wewe Uto una mpira gani mpaka upewe mbeleko? Weka mafanikio ya Kanjibai Manji hapa, acha Wenge.
Endelea kubebwa machela Airport
Period..!
Sio Marekani sema mamtoni[emoji23]Vidudu mtoni hivyo ameletewa na mshikaji wake kutoka marekani [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Simba nguvu moja, hamkuwahi kutufunga wakati ule hali yetu mbaya huku mkilishwa tambuu za Manji ndio mtatufunga sasa hivi?!Na bila Kanji mwamed, mungelikuwa mshashuka dalaja kabisa. Bisha wapi kawaokota mooo.
Option ni kumlilia Manji tu na kuosha gari lake.Muwe mnatoa na option, maana mkiambiwa Wanachama mchangie mnatoa 300!!
Usijitenge na wenzio, sema tusifurahi? najua mmepata gari la kuosha hongereni.Sasa matusi ya nini, mkuu si ndio wameanza, tatizo nini Manji kuwepo au. Huu ni mwanzo tu kwahiyo wasifurahi?
Hivi ninyi mnaendeshwaje? Na Mo pale ni nani?Mpaka Mchakato wao ukae sawa Simba SC tayari Bingwa wa Afrika.
Hata hivyo Kanjibai Manji alikuwepo akaahidi kuifanya Yanga SC kuwa Klabu Bora Afrika, kujenga Uwanja wa Kaunda lakini Vyote Vilibuma.
Kwahivyo hana Maajabu Yaani..[emoji2957]
Wivu ni mzigo mzito,,,Option ni kumlilia Manji tu na kuosha gari lake.
Mkuu..Mipango inafanyika na tunaelekea kufanikiwa na si ngonjera ambapo hata Uwanja wa mazoezi Unashindikana.Hivi ninyi mnaendeshwaje? Na Mo pale ni nani?
simba ilijengwa kwa misimu mingapi si waliwanunua kina kapmb azam wakajaza wakawa na tim bora mpka leo tim ni msim mmoja tuuUto wanashangilia ujinga wanadhani timu inajengwa kwa msimu mmoja. [emoji23][emoji23][emoji23]
labda bingwa wa africa sana clubMpaka Mchakato wao ukae sawa Simba SC tayari Bingwa wa Afrika.
Hata hivyo Kanjibai Manji alikuwepo akaahidi kuifanya Yanga SC kuwa Klabu Bora Afrika, kujenga Uwanja wa Kaunda lakini Vyote Vilibuma.
Kwahivyo hana Maajabu Yaani..[emoji2957]