Kishindo: Yusuph Manji atikisa Mkutano wa Yanga Chang'ombe

Sasa matusi ya nini, mkuu si ndio wameanza, tatizo nini Manji kuwepo au. Huu ni mwanzo tu kwahiyo wasifurahi?
Hujawasikia huko mitaani. Kama hujui mashabiki wa Tanzania uliza kwanza huwa hawajui neno mchakato. Wao wakisikia usajili wanawaza ubingwa?
 
simba ilijengwa kwa misimu mingapi si waliwanunua kina kapmb azam wakajaza wakawa na tim bora mpka leo tim ni msim mmoja tuu
Una uhakika? Simba imeanza kujengwa toka kina Mavugo, Kichuya, Okwi, Peter Mwalyanzi nk uongozi ulikuwa chini ya Aveva kabla hajaenda jela. Taratibu wakaingiza wengine kina Bocco, Nyoni nk kabla ya Chama, Dilunga then wakaja Luis, Bwalya nk
 
Manji ukimuangalia vizuri anaonekana mgonjwa...

Kama anatatizo fulani...
 
Manji ukimuangalia vizuri anaonekana mgonjwa...

Kama anatatizo fulani...
Kwani hujui Manji anaumwa Moyo?
Hata kipindi kile cha kukamatwa na kesi zake ilisemwa sana. Hadi hata alifanyiwa operation ya moyo?
 
Yanga Wana haki ya kufurahi kiasi kile juu ya uwepo wa Manji.

Yanga ya Manji ndo yanga Bora kuwahi kutokea interms of mafanikio ndani na nje ya uwanja(makombe na gharama za uendeshaji).

Leo yanga walistahili kushangilia kiasi kile.
 
Shida sana
 
Chelsea, liver, Manu, Arsenal, Mancity, PSG kwahiyo nazo ni timu za kijinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ