Mkuu punguza kuwadhihaki walimu, Nadhani bila wao hata usingeweza kuandika huu utumbo wako.
Mimi sio mwalimu Ila the way unavyowazungumzia sio poa Mkuu, maana Nina ndugu na jamaa ambao ni walimu.
Naona mada zako nyingi unawaponda hawa watu. Unaweza kuwa na Nia nzuri ya kuwakosoa Ila namna unavyobehave sio poa Mkuu.
Mtu yeyote anayedharau taaluma ya mwenzie ujue hata taaluma yake haifahamu vizuri. Even a Gardener ana mengi ya kukufunza kuhusu Bustani. So heshimu taaluma za watu japo wenyewe Wana mapungufu Yao.
Hakuna taaluma iliyobora kuizidi nyingine huwa tunategemeana. Kuwa na heshima basi.