Kishkwambi Cha mwalimu

Kishkwambi Cha mwalimu

Serikali isovu hili tatizo.

 
Walimu bhana hamjui hata matumizi yake na inaonekana hulali mda wote unawaza kukipata kishikwambi dah
Ningeshangaa nisinhekuona kwenye huu uzi ...sijui umeweka Alert mtu akiandika tu mwalimu unapata notification 😂😂
 
Ningeshangaa nisinhekuona kwenye huu uzi ...sijui umeweka Alert mtu akiandika tu mwalimu unapata notification 😂😂
Huyu bwana anapoint muhimu tatizo anachamba Sana.
 
Subiri mwongozo.

Sidhani kama serikali inaweza kuwapa walimu vishkwambi bila mwongozo na masharti kibao katika matumizi ya vishkwambi hivyo.

Maoni!
Kwa mfano ule mkonge wa taifa wa mawasiliano ungekuwa umesambazwa katika mashule, hii ilikuwa ni fursa ya walimu kuwapa vishkwambi na viunganishwe na Taasis ya Elimu kwa ajili ya kudownload vitabu, na material mengine.

Ila pia hata sasa serikali inaweza kuziamrisha kampuni za mawasiliano kuruhusu site kadhaa za kitaaluma ziwe free kuingia bila data, mfano Taasis ya Elimu kunapopatikana vitabu ili walimu wavitumie hivyo vishkwambi kwa matumizi ya kitaaluma.
 
Mkuu punguza kuwadhihaki walimu, Nadhani bila wao hata usingeweza kuandika huu utumbo wako.

Mimi sio mwalimu Ila the way unavyowazungumzia sio poa Mkuu, maana Nina ndugu na jamaa ambao ni walimu.

Naona mada zako nyingi unawaponda hawa watu. Unaweza kuwa na Nia nzuri ya kuwakosoa Ila namna unavyobehave sio poa Mkuu.

Mtu yeyote anayedharau taaluma ya mwenzie ujue hata taaluma yake haifahamu vizuri. Even a Gardener ana mengi ya kukufunza kuhusu Bustani. So heshimu taaluma za watu japo wenyewe Wana mapungufu Yao.

Hakuna taaluma iliyobora kuizidi nyingine huwa tunategemeana. Kuwa na heshima basi.
Jamaa amekuwa na upumbavu mwingi. Akidhani ni sifa. Kumbe anajidharaulisha tu na watu wanaanza kumwona anakosa heshima na malezi mema.
 
Back
Top Bottom