Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Hahusiki na chochote ndani ya chadema lakini viongozi na wana chama wa chadema wanaweweseka na ukimya wake, lakini zaidi sana kuonekana kwake kwenye hafla za nchi kitaifa kumewatia kiwewe zaidi.
Huenda viongozi wa chadema na wanachadema wote kwa ujumla wamesaha kwamba, Freeman Mbowe wakati wa uchaguzi wa chadema taifa, aliulizwa katika mahojiona na wanahabari, ikiwa utashindwa uchaguzi huu wa chadema utafanya nini?
Freeman Mbowe alisema, nanukuu.
"Mimi ni mfanyibiashara, nitaendelea na biashara zangu"
Haijulikani kiwewe cha viongozi na wanachadema kuhusu Mbowe kinatoka wapi au wanataka awafanyie nini muungwana huyo waliomuita mlamba asali na waliemtukana kila aina ya tusi?
Una maoni gani?🐒
Mungu Ibariki Tanzania.