Ukweli kama ni matusi aliyavumilia na hakijibizana na yeyote, ilifika wakati aliambiwa kwenye uongozi wake chama kilipoteza mvuto mpaka alipoitisha maandamano akaandamana yeye na mtoto wake, aliambiwa aligeuza chama kuwa saccos yake, wengine walidai wanamuheshimu ni Bora awaachie chama chao, wengine walikihama chama sababu tu hawakumkubali, ila ninalokumbuka ni kwamba aliahidi kama akishindwa atajielekeza zaidi kwenye biashara zake, jambo la ajabu wale waliokuwa wanamtukana na kumkejeli yeye akaamua kukaa kimya sijui kama ni hao hao wanorudi na kumtukana Tena wakati yupo nje ya siasa. Atalaumiwa mbowe sana na atakuja kulaumiwa Lisu sana, ila ukweli ni kwamba wananchi ndio tunatakiwa kubadilika kuanzia ngazi ya chini. Swali la kujiuliza Leo chama kinachukuwa madaraka, Viongozi/watendaji wote ngazi ya kiserikali Wana kadi ya chama, wananchi walingelitakiwa kuanzia huko kwenye ngazi ya vijiji au mtaa kukataa utaratibu wa kadi ya chama kuwa kama kigezo cha ajira. Likifanikiwa Hilo ndio tuendelee na utaratibu mwingine. Mbowe kama aliamua kuitosa siasa na kuamua kijikita kwenye biashara onaweza kuwa aliona fursa akaamua aitumieHahusiki na chochote ndani ya chadema lakini viongozi na wana chama wa chadema wanaweweseka na ukimya wake, lakini zaidi sana kuonekana kwake kwenye hafla za nchi kitaifa kumewatia kiwewe zaidi.
Huenda viongozi wa chadema na wanachadema wote kwa ujumla wamesaha kwamba, Freeman Mbowe wakati wa uchaguzi wa chadema taifa, aliulizwa katika mahojiona na wanahabari, ikiwa utashindwa uchaguzi huu wa chadema utafanya nini?
Freeman Mbowe alisema, nanukuu.
"Mimi ni mfanyibiashara, nitaendelea na biashara zangu"
Mwisho wa kunukuu.
haijulikani kiwewe cha viongozi na wanachadema kuhusu Mbowe kinatoka wapi au wanataka awafanyie nini muungwana huyo waliomuita mlamba asali na waliemtukana kila aina ya tusi?
Una maoni gani?π
Mungu Ibariki Tanzania.
naona viongozi na wanachadema karibu wote mmemkasirikia gentleman,Huyo aliyeshidwa uchaguzi wa wazi ndani ya chama mchana kweupe ndo hawe na influence daaah vijana mnasikitisha sana huyo ana influence CCM
Gentleman,Ukweli kama ni matusi aliyavumilia na hakijibizana na yeyote, ilifika wakati aliambiwa kwenye uongozi wake chama kilipoteza mvuto mpaka alipoitisha maandamano akaandamana yeye na mtoto wake, aliambiwa aligeuza chama kuwa saccos yake, wengine walidai wanamuheshimu ni Bora awaachie chama chao, wengine walikihama chama sababu tu hawakumkubali, ila ninalokumbuka ni kwamba aliahidi kama akishindwa atajielekeza zaidi kwenye biashara zake, jambo la ajabu wale waliokuwa wanamtukana na kumkejeli yeye akaamua kukaa kimya sijui kama ni hao hao wanorudi na kumtukana Tena wakati yupo nje ya siasa. Atalaumiwa mbowe sana na atakuja kulaumiwa Lisu sana, ila ukweli ni kwamba wananchi ndio tunatakiwa kubadilika kuanzia ngazi ya chini. Swali la kujiuliza Leo chama kinachukuwa madaraka, Viongozi/watendaji wote ngazi ya kiserikali Wana kadi ya chama, wananchi walingelitakiwa kuanzia huko kwenye ngazi ya vijiji au mtaa kukataa utaratibu wa kadi ya chama kuwa kama kigezo cha ajira. Likifanikiwa Hilo ndio tuendelee na utaratibu mwingine. Mbowe kama aliamua kuitosa siasa na kuamua kijikita kwenye biashara onaweza kuwa aliona fursa akaamua aitumie
alishatoa kauli kwamba kabla ya uchaguzi wa chadema 2025 kwamba,Kuna tofauti kati ya mtu kuwa mwanachama wa chama na kuamua kuendelea na shughuli zake binafsi. Ukimya au kuonekana kwake kwenye hafla za kitaifa pekee hakutoshi kuthibitisha kwamba ana msimamo gani kisiasa; ni bora kuhukumu kwa kauli na matendo yake yanayoonekana.