Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwenye nchi za Ulaya na Marekani ni rahisi sana kuona Waafrika (Siyo wamarekani weusi) wasio na historia na nchi za Ulaya ama Marekani wanapata nafasi za kisiasa kwenye nchi hizo. Lakini mpaka Mzungu achaguliwe Afrika kuwa Kiongozi, huwa ni shida sana.
Je, sisi waafrika linapokuja suala la kugombea nafasi za kisiasa, ni wabaguzi?
Je, sisi waafrika linapokuja suala la kugombea nafasi za kisiasa, ni wabaguzi?