Alex Mponela
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 254
- 109
Wadau nawaombeni msaada, kisigino changu cha mguu wa kushoto kinaniuma sana utafikiri labda kuna msumari umeingia, nimewaona wataalamu wengine wakasema huenda ni uzito nipunguze uzito. Nimefanya zoezi na kupunguza uzito karibia kilo tano lakini bado tu. Kisigino kinaniuma hasa wakati ninaamka asubuhi, ila nikiwa busy kinaacha, na nikiwa iddle tu kwa muda kama nikiwatch movies nusu saa tu tayari kinaanza tena! Wakuu naomba msaada wenu!!
Dawa ya kisigino kinachouma ni kupakaa mchanganyiko wa mafuta ya taa na mafuta ya alizeti iliyochanganywa katika ratio iliyosawa. unapaka tu asubuhi na jioni kwa siku chache kama siku nne au zaidi kidogo na utapona kabisa, ukipenda unaweza kuwasiliana na mimi kwa maelezo zaidi au kama utapenda kutumiwa mchanganyiko ulio tayarishwa tayari wasiliana na mimi kwa simu no:- 0754806828.Wadau nawaombeni msaada, kisigino changu cha mguu wa kushoto kinaniuma sana utafikiri labda kuna msumari umeingia, nimewaona wataalamu wengine wakasema huenda ni uzito nipunguze uzito. Nimefanya zoezi na kupunguza uzito karibia kilo tano lakini bado tu. Kisigino kinaniuma hasa wakati ninaamka asubuhi, ila nikiwa busy kinaacha, na nikiwa iddle tu kwa muda kama nikiwatch movies nusu saa tu tayari kinaanza tena! Wakuu naomba msaada wenu!!
Asante ni Habayu na Dr. Love kwa mawazo yenu. Mimi nilishapona. Miaka mitatu sasa imepita toka nilete uzi huu.
Asante ni Habayu na Dr. Love kwa mawazo yenu. Mimi nilishapona. Miaka mitatu sasa imepita toka nilete uzi huu.
Alex Mponela naomba utusaidie na umsaidie ram
Ni hospitali gani ama Doctor gani ulimuona mkuu?Salamu wadau,
Najua ni muda umepita ila nina maarifa kidogo kuhusu haya maumivu ya kisigino kwani nami niliwahi kupata tatizo hili na nikafanikiwa kupata tiba. Nilikuwa na maumivu yanayofanana na mtoa taarifa ya awali kuwa kisigino kinauma sana muda tu ninapoamka toka kitandani (asubuhi) na maada ya shughuli chache (being busy) hayo maumivu yanatoweka ila pindi ukitulia kwa muda unayahisi yanarejea tena.
Nilionana na daktari wa mifupa akashauri kwanza nikapige picha (x-ray) ambayo ilionyesha kuwa sikuwa na athari zozote katika mifupa ya kisigino. Akanambia kama ni hivyo basi nitakuwa na tatizo la msuli kamba. Alimeleza kuwa huu ni msuli unaopita katika kisigino ukitokea katika kidole kikuu cha mguu na wakati fulani inatokea huu msuli unabanwa na nyama za kisigino hasa kutokana na kuongezeka kwa uzito au kuumia mchezoni. Na akanipatia tiba ya sindano aliyoichoma palepale katika eneo la jeraha na nashukura sasa ni zaidi ya miezi sita lile tatizo halijarejea.