KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Muweka mada angefafanua kama yeye ana umri gani, kwa wenye umri kuanzia 45yrs huweza kupata kuota kimfupa fulani kwenye kisigino kijulikanacho kitaalam kama (CALCANEAL SPUR), ambacho kinakuwa na maumivu makali sana, na matibabu yake ni lazima muhusika afike hospitali amuone daktari bingwa wa mifupa ili apewe ushauri juu ya matibabu yake.