Kisigino kuuma

Kisigino kuuma

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,804
Reaction score
12,227
Wakuu naombeni tiba. Kisigino hakijavimba wala kubadilika rangi, lakini kinauma nukikanyaga chini kwa zaidi ya miezi 6 sasa. Na kadiri siku zinavyoenda ndo kinauma zaidi.
Nimetumia deep heat ya kuspray, salimia lakini hamna nafuu.
Naombeni ushauri.
 
Kabla ya wataalam hawajaja kukujibu naweza kukupa ushauri wa awali. Kisigino kuuma inatokana na kuongezeka uzito, jaribu kufanya mahesabu ya BMI uweze kujua unatakiwa kuwa na uzito gani. Suluhisho la kudumu ni kupunguza uzito na kuendelea kuudhibiti, kama utahitaji njia ya haraka ya kupunguza uzito tafadhali usisite kuni-PM.
 
Muweka mada angefafanua kama yeye ana umri gani, kwa wenye umri kuanzia 45yrs huweza kupata kuota kimfupa fulani kwenye kisigino kijulikanacho kitaalam kama (CALCANEAL SPUR), ambacho kinakuwa na maumivu makali sana, na matibabu yake ni lazima muhusika afike hospitali amuone daktari bingwa wa mifupa ili apewe ushauri juu ya matibabu yake.
 
Mkuu sijafika hta 40, inakuaje apo. Afu nilipima bmi nikaambiwa nipo normal.
 
Back
Top Bottom