KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Wakuu naombeni tiba. Kisigino hakijavimba wala kubadilika rangi, lakini kinauma nukikanyaga chini kwa zaidi ya miezi 6 sasa. Na kadiri siku zinavyoenda ndo kinauma zaidi.
Nimetumia deep heat ya kuspray, salimia lakini hamna nafuu.
Naombeni ushauri.
Nimetumia deep heat ya kuspray, salimia lakini hamna nafuu.
Naombeni ushauri.