Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Af bujibuji hivi pale napo pana historia gani mana kiukwl ni eneo maarufu ukiwa unyaluniKisima Cha Bibi, Iringa
Unakosaje majini katika mazingira kaa haya wakuu?Kaburi la Sharifat na vijakazi wake, huyu alikua ni mtabiri na alikua bikra pamoja na vijakazi wake mabinti wote walikua bikra, alipofariki Safiya na wale vijakazi wake wakajiua na kwa lengo la kuendelea kumuhudumia huko waendako.View attachment 1656766
Ukiwa na mambo ya kichawi lazima uwaze uchawi.Unakosaje majini katika mazingira kaa haya wakuu?
Hivi walikuwa ni waarabu au waswahili?Kaburi la Sharifat na vijakazi wake, huyu alikua ni mtabiri na alikua bikra pamoja na vijakazi wake mabinti wote walikua bikra, alipofariki Safiya na wale vijakazi wake wakajiua na kwa lengo la kuendelea kumuhudumia huko waendako.View attachment 1656766
Chini ya ardhi kuna siri nyingi. Kuna mito inayomwaga maji baharini ipitayo chini kwa chini na vyanzo vyake huwa ni vya mbali sana. Eneo laMpera hapa Kigamboni kuna maji mengi sana na ni baridi kabisa hayana chumvi. Huo ndio uumbaji wa Mwenyezi Mungu ambao wewe na mimi tutapita lakini tutakuwa hatumaliza elimu yakeWanasayansi waje watuambie Kwanini kisima hicho hakikauki maji tangu kilipochimbwa karne ya 17 hadi leo karne ya 21,
Pia kwanini kisima kina maji baridi licha ya kua kipo karibu sana na bahari?
Umenikumbusha makaburi ya Masharifu, wanasema vile visahani walivyonakshia kwenye kuta za makaburi vilikua vina madini wajanja wakaving'oa vyoteee.
Kuna kaburi la Sharifat na washirika wake pia, niliingia kupiga picha mule ndani bahati mbaya picha nimezihifadhi sehemu, ningeshare nanyi hapa.
Uliuona mti wa kuongeza maisha?Kaole, mji wa zamani wa Bagamoyo una mambo mengi ya kustaajabisha ikiwemo kisima cha ajabu chenye miaka zaidi ya 800.
Uajabu wa kisima hicho ni kuwa maji yake hayapungui bila kujalisha kipindi cha mwaka au kiasi cha maji kinachochotwa.
Ajabu lingine la kisima hiko ni kuwa kipo karibu na bahari lakini kinatoa maji baridi(yasiyo na chumvi) hali hiyo ndio imeongeza imani ya watu wengi.
Kisima hicho kilichimbwa kwa ajili ya kutawadha waislamu, kipo pembeni mwa Msikiti wa kwanza kujengwa tangu walipoingia Washirazi.
Kaole ilikuwa ni bandari ya kwanza iliyotumika ambayo karne ya 17 ilihamia ilipo hivi sasa kutokana na kina cha maji kupungua hivyo tangu hapo Mji wa Bagamoyo ukaanza kutumika huku Kaole ikiwa imeachwa kama makumbusho.
View attachment 1655991