Kisiwa cha Greenland kina ukubwa zaidi ya mara mbili ya ukubwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Takwimu sahihi kabisa

Kisiwa cha Greenland kina ukubwa wa skwea kilometa milioni 2.175.600

Jamhuri ya muungano wa tanzania Ina ukubwa skwea kilometa laki 947,300

Usiku mwema
 
Kunya anye kuku akinya bata ooooh kaharisha,Russia akiendelea kuimega Ukraine 🇺🇦 ni haki yake
 
Wadau hamjamboni nyote?

Takwimu sahihi kabisa

Kisiwa cha Greenland kina ukubwa wa skwea kilometa milioni 2.175.600

Jamhuri ya muungano wa tanzania Ina ukubwa skwea kilometa laki 947,300

Usiku mwema
sasa mbona ina watu kidogo kuliko tanzania?
 
Kwa hiyo maana yako ni ipi?
Point ni kwamba usishangae siku moja tamko linatoka kusiko julikana kwamba kuna nchi inataka kisiwa cha zanzibar na vyote vilivyomo
 
Wachukue tu na kama kuna kitu wanapungukiwa kukisafirisha tunawapa msaada
 
Wadau hamjamboni nyote?

Takwimu sahihi kabisa

Kisiwa cha Greenland kina ukubwa wa skwea kilometa milioni 2.175.600

Jamhuri ya muungano wa tanzania Ina ukubwa skwea kilometa laki 947,300

Usiku mwema
Trump anakimezea mate vibaya mno. Huyu atakitwaa tu.
 
Sehemu kubwa ni barafu ni eneo la kimkakati la nchi ya denmark huwa inadai!?
 
Back
Top Bottom