Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
sasa mbona ina watu kidogo kuliko tanzania?Wadau hamjamboni nyote?
Takwimu sahihi kabisa
Kisiwa cha Greenland kina ukubwa wa skwea kilometa milioni 2.175.600
Jamhuri ya muungano wa tanzania Ina ukubwa skwea kilometa laki 947,300
Usiku mwema
90+ % ni barafusasa mbona ina watu kidogo kuliko tanzania?
Point ni kwamba usishangae siku moja tamko linatoka kusiko julikana kwamba kuna nchi inataka kisiwa cha zanzibar na vyote vilivyomoKwa hiyo maana yako ni ipi?
Idumu Mizimu80% ni barafu
Wachukue tu na kama kuna kitu wanapungukiwa kukisafirisha tunawapa msaadaPoint ni kwamba usishangae siku moja tamko linatoka kusiko julikana kwamba kuna nchi inataka kisiwa cha zanzibar na vyote vilivyomo
Trump anakimezea mate vibaya mno. Huyu atakitwaa tu.Wadau hamjamboni nyote?
Takwimu sahihi kabisa
Kisiwa cha Greenland kina ukubwa wa skwea kilometa milioni 2.175.600
Jamhuri ya muungano wa tanzania Ina ukubwa skwea kilometa laki 947,300
Usiku mwema
92% Barafu80% ni barafu
Wabongo hawana kazi wanaishia kunin'ginia kwenye mapaja, hio ndio sababu.80% ni barafu
Mkuu nimesharekebisha92% Barafu
"KiGUMU chama cha Mapinduzi" alisikika mlevi mmoja wa kachasu!Shule za kata zimeleta majanga sana hii nchi!
Kumejaa madini karibu yote na kiasi kikubwa cha mafuta na gas.92% Barafu
Chini ya hiyo barafu kumejaa madini ya kila aina, mafuta, na gesi kwa kiwango kikubwa sana.92% Barafu
Ina watu 50000 tu , Kuna barafu Kali mnosasa mbona ina watu kidogo kuliko tanzania?