Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
bora watu wa Pwani mshaanza kuamka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh aisee! you made my day....yaani hujakosea kabisa,maana 95% ya wakazi wa Mafia ni waislaam....so CDM wakitia timu tu hapo iliCCM watawajia na udini na kuwaambia kuwa msiwachague CDM kwa sababu wao ni wakatoliki. Na nyie mlivyokuwa wepesi wa kuamini hata upumbavu mradi tu umegusa uislamu, mtaendelea na CCM tu!!! Poleni sana!!
Sheikh ubwabwa mbona umejazibika as if you are responsible kwa anachokilalamikia muandishi wa thread hii??Je ni mawazo yako au ndio mawazo ya jumla ya wana wa Kilindoni.
Punguza ushabiki
Kilichobaki Mbaraka aingie jimboni tuanze campaign
Uko sahihi Dr.Mnatakiwa muikatae CCM kwa ujumla wake sio tu huyo mbunge.
Nilivyokusoma ni kama vile CCM wakileta mgombea mwingine mtamchagua. Kama hivyo ndivyo mtakuwa hamjatatua tatizo!
Huyu Mbunge wa Mafia kashafanya nini tangu arejeshwe mwaka jana?
Majimbo ambayo ccm ipo inabidi mteseke sana ili akili yenu ipate kupambanua mambo vizuri!endeleni kuteseka na ccm yenu ,wajinga ndio ,..!
fikra finyu angalia chanzo cha vurugu na si matokeo t*ko we.
nadhani hii ni vice versa ... majimbo yaliyochukuliwa na CDM wanachi ndio wanaoteseka na vurugu ... hawaishi kwa amani ... nakumbuka cdm walipofanya mkesha arusha .. kuna dada alihojiwa bbc alikuwa kilalamika kwamba usiku hawakulala kwa raha sababu ya vurugu...