Tetesi: Kissinger: Ameonekana kwenye Chumba cha operation za kivita cha Marekani akicheka sana asema waarabu kuwa majivu/Iran na Urusi kuzikwa kaburi moja

Hiyo vita haiwezi pigwa live labda kwa kushikana kimya kimya baadhi ya viongozi wa ngazi za juu
 
Kissinger: World War III will come and Muslims will turn to ashes.
Nukuu:

Kama kweli huyu mzee kaongea hayo, basi Uzee sio kitu kizuri kabisa.
au uenda ana-frustrations za kutosikika kwenye Media.



Sent using Jamii Forums mobile app
Asiyeaikia la mkuu huvunjika guu.
Itakuwa kweli taratiiiiibu.
Wao waarabu wakijimwagia petroli mbele ya kiberiti.
 
Hitler na henchmen wake walikuwa na mawazo kama hayo walipoanzisha WWII
 
Embu tupatie source ya hii taarifa kwa sababu kwa mtu kama kissinger kutoa tamko kali na kuonyesha chuki dhidi ya arabs ni hatari sana..kwangu naona ni fake news
 
Uhakika ni kwamba, vita kuu ya tatu ya dunia, serikali moja na dini moja vitatokea baada ya Yesu Kristo kunyakua walio wake na kwenda nao juu kwenye karamu ya mwana kondoo. Kwa hiyo tunapoona chokochoko kama hizi za vita, watu ambao wako rohoni wanakazana zaidi kujiandaa kwa ajili ya unyakuo.
 
Wajinga watakuja hapa na kusema this is a Conspiracy!Why should it be.Watu lazima wajue kwamba Kissinger like Klaus Schwab ni stauch supporters of NWO plans,so what they say is what the NWO has planned.Whether it will happen according to their plans is another matter,because they plan,but God the Almighty also plans.

Nimesoma mipango hii in many websites,nimeiona mipango hii kwenye Covenant yao,so it is true.Na niseme hivi,anybody who does not see this happening right infront of our eyes is stupid and lunatic.It is right there,it is happening and I see it unfolding.
 
Kissinger mwamba wa Waarab, wenyewe waarab wakisikia tu jina lake wanaharisha.
 
Na Kissinger anawala sana Waarab
Kiboko yake Putin tu. Anaenda pigana na waarab ambao hawana tech za mikombora wananunua, akamle Putin sasa.
Hapa ndipo US pro mnanichekesha. Wakiuawa waarab fresh lakini Ukraine kelele.
Kauli yako ya anawala sana Waarab ni kama vile hata wakifa poa tu.
It seems kwenu there are people who are more human than others.
 
Mbona ilo linajulikana tokea zamani. Uwezi mlinganisha muarabu na mzungu.
Kafara la mwarabu ni dogo kulinganisha na kafara la mzungu.
Na dunia ilipofikia ilikuwa linaitaji kafara la mzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…