Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Unatokwa na povu bure kijana, hiyo si dhamira yangu hata kidogo ni matakwa yako wewe binafsi na pia ni kosa kufikiri kwa niaba yangu maana hunijuwi. Matokeo yake ndiyo haya sasa, unajichanganya.Kiboko yake Putin tu. Anaenda pigana na waarab ambao hawana tech za mikombora wananunua, akamle Putin sasa.
Hapa ndipo US pro mnanichekesha. Wakiuawa waarab fresh lakini Ukraine kelele.
Kauli yako ya anawala sana Waarab ni kama vile hata wakifa poa tu.
It seems kwenu there are people who are more human than others.