Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani umeshanielewa.Kinachoambukizwa ni UKIMWI? au ni V.V.U?
Nadhani umeshanielewa.
shida ni matangazo yaliyofanywa kuhusu ukimwi mfano kulikuwa na tangazo linasema "je unataka kutimiza ndoto zako? hakikisha hauambukizwi HIV " sasa hiyo ndio inajenga tafsiri kwamba ukipata ukimwi tu ndoto hazitiisababu wanaamini ni ugonjwa unatokana na ngono zembe wanaona aibu
Wengi wanaamini ni ugonjwa unaopatikana kwa uzinzi/uzinifu na mila na desturi zetu uzinzi/uzinifu no tendo la aibu.uzinifu ni moja ya amri iliyokatazwa na mungu kati ya zile amri 10 kwa baadhi ya waamini was dini Fulani.so kuna Hepatitis b pia ni hatari Zaidi ya yote uliyoyaeleza.Kuna magonjwa yamekuja kwa kasi kwa sasa kama kansa na sugar ukipata sukari ni hatari maana ukipata kidonda kupona ni kazi pia inakimbilia chini, huwezi kufanya kwa ufanisi tendo la ndoa kwa kansa kupona haiwezekani labda kwa maombi.
Pia serekali imewatupa watu hawa maana dawa zake ni gharama sana za kupunguza makali ila sasa kwenye ukimwi dawa huu ugonjwa ukitumia dawa vizuri za kupunguza makali unaweza ishi miaka 30 ila umekua ugonjwa wanaougopa sana tofauti na kansa presha na kisukari hii inatokana na nini wadau?
ndiyo ugonjwa gani huoWengi wanaamini ni ugonjwa unaopatikana kwa uzinzi/uzinifu na mila na desturi zetu uzinzi/uzinifu no tendo la aibu.uzinifu ni moja ya amri iliyokatazwa na mungu kati ya zile amri 10 kwa baadhi ya waamini was dini Fulani.so kuna Hepatitis b pia ni hatari Zaidi ya yote uliyoyaeleza.
Maambukizi ya ugonjwa wa Inindiyo ugonjwa gani huo
Kuna magonjwa yamekuja kwa kasi kwa sasa kama kansa na sugar ukipata sukari ni hatari maana ukipata kidonda kupona ni kazi pia inakimbilia chini, huwezi kufanya kwa ufanisi tendo la ndoa kwa kansa kupona haiwezekani labda kwa maombi.
Pia serekali imewatupa watu hawa maana dawa zake ni gharama sana za kupunguza makali ila sasa kwenye ukimwi dawa huu ugonjwa ukitumia dawa vizuri za kupunguza makali unaweza ishi miaka 30 ila umekua ugonjwa wanaougopa sana tofauti na kansa presha na kisukari hii inatokana na nini wadau?
kwa nini mtu akiwa na kisukari ni rahisi kusema kwa jamii ila ukimwi hasemi
Hasemi kwa sababu tumeaminishwa ukimwi unapatikana kwa ngono zembe...ila kama ni mimi siwezi sema nina UKIMWI kwa sababu sio ugonjwa bali ni mapungufu katika mwili.kwa nini mtu akiwa na kisukari ni rahisi kusema kwa jamii ila ukimwi hasemi
Hayo matatu uliyoyataja si magonjwa ya kuambukiza na ukiyaugua wanaona ni bahati mbaya. Lakini ngoma ni ya kuambukiza na inatokana na zinaa. Kwa kifupi NGOMA inatesa na inadhalilishaKuna magonjwa yamekuja kwa kasi kwa sasa kama kansa na sugar ukipata sukari ni hatari maana ukipata kidonda kupona ni kazi pia inakimbilia chini, huwezi kufanya kwa ufanisi tendo la ndoa kwa kansa kupona haiwezekani labda kwa maombi.
Pia serekali imewatupa watu hawa maana dawa zake ni gharama sana za kupunguza makali ila sasa kwenye ukimwi dawa huu ugonjwa ukitumia dawa vizuri za kupunguza makali unaweza ishi miaka 30 ila umekua ugonjwa wanaougopa sana tofauti na kansa presha na kisukari hii inatokana na nini wadau?
UKIMWI- upungufu wa kinga mwili.
Upungufu wa kinga mwilini unasababisha magonjwa yote hayo uliyosema hatari!
Upungufu wa kinga mwilini ndio mzizi wa hayo magonjwa..
Wapo sahihi wanapoogopa upungufu wa kinga mwilini..