Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,024
Well said mkuuKansa na kisukari ni hatari sana kuliko hata huo ukimwi,
Kwanza saratani/kansa kufa ndio kupona kwako, kisukari masharti ni mengi mara usile hiki ila kula hiki pekee,
UKIMWI unaruhusiwa kula vingi sana pia hauna mateso kama kisukari labda mhusika asizingatie maelekezo ya daktari,
All in all ugonjwa ni ugonjwa tu, jilinde pia kula vizuri na mazoezi ili kuepuka kisukari na saratani,