Kisumu Church Drama: Alleged Hired Goons Fail to Disrupt Service as Tension Grips Worshippers

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312

Tension ilitanda Kisumu baada ya kundi la watu wanaodaiwa kuwa hired goons kujaribu kuvuruga church service iliyohudhuriwa na Siaya Governor James Orengo pamoja na Nairobi Senator Edwin Sifuna.
Kwa mujibu wa video zinazosambaa mtandaoni, kundi hilo halikufanikiwa kuingia ndani ya kanisa baada ya kuzuiwa, huku ibada ikiendelea hadi mwisho licha ya hali ya taharuki nje ya church.
Katika mzozo huo, baadhi ya watu wanaodaiwa kuwa miongoni mwa kundi hilo walipata majeraha mabaya. Hakuna taarifa za waumini kujeruhiwa, na worshippers waliendelea na ibada chini ya ulinzi mkali.
Meanwhile, in a separate incident in Laikipia County, watu wanaodaiwa kuwa goons walivamia mkutano wa Linda Mwananchi. During the attack, Governor Irungu Kang'ata's driver alipigwa risasi na kwa sasa anaendelea kupokea matibabu hospitalini huku hali yake ikiripotiwa kuimarika.
Police wameanzisha uchunguzi kuhusu matukio yote mawili huku Wakenya wakitaka waliohusika kuwajibishwa na siasa zisitumike kuvuruga maeneo ya ibada na mikutano ya umma.
 
View attachment 3627691
Tension ilitanda Kisumu baada ya kundi la watu wanaodaiwa kuwa hired goons kujaribu kuvuruga church service iliyohudhuriwa na Kisumu Governor James Orengo pamoja na Nairobi Senator Edwin Sifuna.
Kwa mujibu wa video zinazosambaa mtandaoni, kundi hilo halikufanikiwa kuingia ndani ya kanisa baada ya kuzuiwa, huku ibada ikiendelea hadi mwisho licha ya hali ya taharuki nje ya church.
Katika mzozo huo, baadhi ya watu wanaodaiwa kuwa miongoni mwa kundi hilo walipata majeraha mabaya. Hakuna taarifa za waumini kujeruhiwa, na worshippers waliendelea na ibada chini ya ulinzi mkali.
Meanwhile, in a separate incident in Laikipia County, watu wanaodaiwa kuwa goons walivamia mkutano wa Linda Mwananchi. During the attack, Governor Irungu Kang'ata's driver alipigwa risasi na kwa sasa anaendelea kupokea matibabu hospitalini huku hali yake ikiripotiwa kuimarika.
Police wameanzisha uchunguzi kuhusu matukio yote mawili huku Wakenya wakitaka waliohusika kuwajibishwa na siasa zisitumike kuvuruga maeneo ya ibada na mikutano ya umma.
I think James Orengo ni Governor wa Siaya na sio Kisumu, right?🐒
 
Back
Top Bottom