Kisumu gets it’s first Traffic Light [emoji613] in 2019

Afadhali sisi tinazindua traffic lights. Najua nchi fulani ambayo inazindua hadi lift kwenye jumba. Halafu nasikia eti hiyo Mbeya inaitwa Jiji. A city without even a single building with a lift prior to that "launching". Ukistaajabu ya Musa...

Wamezindua Traffic Light [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Na Hiyo Nairobi has a larger GDP than the Whole of The Dark poor Nation Dangagiza…..pwahahahaha
Gdp is BS. It is wealth accumulated by few people. Wengi wenu nyie maskini wa kutupwa, Tz tuna small gdp and an inclusive economy, leading in africa. Ndio maana wabongo wanashangaa sana 3rd city ya mid income kenya kupata traffic light 2019.
 
Inclusive economy indeed.
 
Gdp is BS. It is wealth accumulated by few people. Wengi wenu nyie maskini wa kutupwa, Tz tuna small gdp and an inclusive economy, leading in africa. Ndio maana wabongo wanashangaa sana 3rd city ya mid income kenya kupata traffic light 2019.
Tz nzima liko na flyover moja.
 
Gdp is BS. It is wealth accumulated by few people. Wengi wenu nyie maskini wa kutupwa, Tz tuna small gdp and an inclusive economy, leading in africa. Ndio maana wabongo wanashangaa sana 3rd city ya mid income kenya kupata traffic light 2019.
Eti inclusive economy? Ebu mkuu post GINI coefficient yenu hapa!
 
Naona mi jubilee inajifariji na visingizio vingi japo hilo la uzinduzi wa streetlights kisumu leo mwaka wa 2019 limekwamia tu hapo. HAKUNA pingamizi..
 
Taratibu kijana ukiongelea Chato unaongelea hii kitu

Ndani ya miaka 7 Chato itakua inaichapa Nairobi ngumi za uso
 
Wewe nae uelewage nimesema miji mingi ya Tzn ni localised planned yaani vieneo vichache vichache ndo vimepimwa kama hapo Dom especially Dar road na gvt sitting place but iringa road huko nkonzwe,Arusha road mnadani huko na singida road even town centre is full of uswazi na slums
 
Eti inclusive economy? Ebu mkuu post GINI coefficient yenu hapa!
No time, but ni one of reports from reputable sources in the world, threads zipo hata huku. Tafuta mwenyewe.
Wtf is gini report, me sio mchumi buda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…