Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 18,216
- 12,774
Afadhali sisi tinazindua traffic lights. Najua nchi fulani ambayo inazindua hadi lift kwenye jumba. Halafu nasikia eti hiyo Mbeya inaitwa Jiji. A city without even a single building with a lift prior to that "launching". Ukistaajabu ya Musa...
Wamezindua Traffic Light [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]